Ni katika vitu gani inabidi umkaripie mpenzi wako na katika vitu gani inabidi usimkaripie?

Ina depend na aina ya mtu unaye date naye... of coz kuna baadhi ya wanawake ambao ikitokea mkapishana, wao hupendelea kukaa chini na kuongea kistaarabu kabisa( i mean hawapendi kukaripiwa)

Na wapo hao wengine ambao bila ya kumkaripia aisee daily atakuwa anarudia kosa lile lile (i mean wao kuwakaripia ndo huwa wanabadilika tofauti na kukaa chini mkaongea kistaarabu)
Kweli kabisa mfano ukiwa na mke wa musoma wanatakaga uwachape tena sio kumfinya bali kichapo haswa na usipokua makini mtakuwa mnakunjiana ngumi mnazichapa wote
 
Katika vitu nachukia maishani ni mtu kunikaripia hapana hapo hasira zangu ataziona..... nashukuru Mungu kwa kunipa mume mpole, muelewa, mwenye heshima, mvumilivu na zaidi ananipenda kwa dhati.
 
Katika vitu nachukia maishani ni mtu kunikaripia hapana hapo hasira zangu ataziona..... nashukuru Mungu kwa kunipa mume mpole, muelewa, mwenye heshima, mvumilivu na zaidi ananipenda kwa dhati.
Nilikua sijaelewa mpaka nilipofika kwenye neno mvumilivu japo bado kunamashaka na ilo penzi la kimalaika kwamba kila kitu mnavumiliana kwamba hamjawahi kumchokozana hata akakuzabua au kukufinya, labda bila shaka atakua anakuadhibu kwa kukupelekea moto mkali na vibunda vya kutosha
 
hakikaa.tena kibongobongo usijifanye unampiga mwanaume hata kiutaniutani
yatakayo kukuta si ya kawaida.hatutakagi utani wa dizaini hiyo dhidi ya ke
Inategemea.. hahaha kuna wenzako wanaguswa na wanatulia kimya wanajiita wanaume
 
Haifai mwanamke kumkaripia mwanaume, huo ni utovu wa nidhamu, mwanaume anapaswa kuheshimiwa siku zote, pili kumbuka mwanamke humilikiwa na mwanaume so inabidi ajue nafasi yake.

Mapenzi bila kukaripiana yanawezekana sana, mnaweza kutatua changamoto zenu hata kwa kuongea kwa utaratibu tu,kikubwa ni kuongea kwa hoja, na istoshe kukaripiana kuzalisha tatizo lingine
Wapo wanawake mapenzi yao ni ya kukaripia yani anakukaripia kwamba amemisi show kwa wale wa mahusiano ya mbali mpaka analia
 
Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu.

Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka.

Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa:

MAMBO YA KUMKARIPIA MPENZI WAKO:
1.Ukosefu wa heshima kwako au kwa watu wengine.

2.Uongo, udanganyifu, au usaliti.

3.Ukatili wa kimwili au wa maneno.

4.Matumizi mabaya ya pesa au mali.

5.Kutowajibika katika majukumu yake.

6.Kutotimiza mahitaji ya kihisia ya kila mmoja

MAMBO YA KUEPUKA KUMKARIPIA MPENZI WAKO
i: Mambo Madogo Madogo: Mfano kujisahau katika jambo fulani, Kuchelewa kurudi nyumbani mwanaume, Kuwa na hobies tofauti kuhusu muziki, filamu, au siasa.

ii. Mambo Yasiyoweza Kubadilishwa: mfano Muonekano wake wa kimwili.
Asili yake ya kijamii au kiuchumi. Familia yake au marafiki. Utani wake au hisia ya ucheshi. Mambo ya zamani ambayo hayawezi kubadilishwa.

UO NDO MWISHO WANGU bali nina MASWALI yanayozunguka kichwani.

1. Mwanamke anafaa kumkaripia mwanaume?

2. Je mahusiano yanaweza kusonga bila kukaripiana kabisa?

Ndio mnaweza kwenda bila kukalipiana
 
Back
Top Bottom