Kiasi gani cha fedha ushawahi kutuma/ kupokea kwa mpenzi wako

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
240
546
Mambozz dear.

Leo asubuhi nimeaka baada ya uchovu wa viwanja jana my boyfriend from USA amefanya money transfer ya 1000us dollar.

Nampenda sana huyu Mwanaume jamani.
Jamani mwenzenu napendwa mie

Ila nimekuja kuuliza tu swali.

Kiasi gani kikubwa cha fedha ushawahi kupokea au kutuma kwa mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom