Piga Chini: Mpenzi wako hakutafuti mpaka umtafute, sms anachati kama anafanyiwa interview

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,886
4,050
Kama penzi lako wewe na huyo hacienda mpaka wewe ndio unaze kutuma sms au kupiga wewe haupo kwenye mahusiano bali unafosi.

Kama mpenzi wako ukiwa munachati inakuwa kama unamfanyia interview ya kumuuliza maswali bila yeye kukuliza wewe, kisherehesha na ku-rise kitu kipya wewe haupo kwenye mahusiano

Yaaani on huu ujinga
Mambo ~ Poa
Usharudi Job ~ Ndio
Nitapita hapo ~ Aya

Chatting Inabidi iwe hivi
Mambo ~ Poa, mzima wewe

Mzima, ushatoka job ~ Ndio, vipi wewe.

Ndio narudi, nitapitia hapo ~ Sawa, ukikaribia niambie.

Kama mpenzi wako hamuawasiliani mpaka wewe uanze piga kimya baada ya kusoma huu uzi mpaka aanze kukutafuta.

Kama mpenzi wako Chatting zake anajibu kijinga Kama unamfanyia interview mchane Kama hakuelewi piga chini.
 
Drop her and you drop her fast
 
Nakazia ila huyo hatokuwa ni mpenzi wako.

Sio mapenzi tu hata mawasiliano yeyote yasiyojali pande zote mbili ni yakifala sana. Mbaya zaidi ni yeye aliekutafuta alafu anakua na majibu yanayo hang hewani(ndugu au rafiki)
Yeye: mambo vipi kaka?
Mimi: poa kwema mkuu?
Yeye: kwema
Mimi hapo nikijitahidi kujibu nitajibu "vizuri kama kwema".

Wale wenzetu sasa 😐
Yeye: Mambo fulani.
Mimi: poa mzima wewe?
Yeye: mzima
Mimi: okay
Yeye: niambie 😂
Dah ni kero
 
Kama penzi lako wewe na huyo hacienda mpaka wewe ndio unaze kutuma sms au kupiga wewe haupo kwenye mahusiano bali unafosi.

Kama mpenzi wako ukiwa munachati inakuwa kama unamfanyia interview ya kumuuliza maswali bila yeye kukuliza wewe, kisherehesha na ku-rise kitu kipya wewe haupo kwenye mahusiano

Yaaani on huu ujinga
Mambo ~ Poa
Usharudi Job ~ Ndio
Nitapita hapo ~ Aya

Chatting Inabidi iwe hivi
Mambo ~ Poa, mzima wewe

Mzima, ushatoka job ~ Ndio, vipi wewe.

Ndio narudi, nitapitia hapo ~ Sawa, ukikaribia niambie.

Kama mpenzi wako hamuawasiliani mpaka wewe uanze piga kimya baada ya kusoma huu uzi mpaka aanze kukutafuta.

Kama mpenzi wako Chatting zake anajibu kijinga Kama unamfanyia interview mchane Kama hakuelewi piga chini.
Sio kwa mpenzi tu hata kwenye mawasiliano ya kawaida
 
Bado hujakuwa kijana.
 
Unaandika nini??

Kuna upendo bila mawasilaino, munaweza pendant na hamjaongea miaka saba??

Binadamu huwa hapendwi Ila anapenda

MTU mwenye upendo yeye anapenda na sio kusubili kupendwa

Ingekuwa mawasiliano ndo UPENDO msingekuwa mnalia kila siku.

Na definition ya UPENDO kifalsafa ni kutomuazia MTU yeyote mabaya.

Sasa chating zitaletaje upendo mkuu ,

Mwanamke anaweza kukuchatia usiku mzima na kwa lugha nzuri na akaishia kuja kukufanyia ubaya ambao hautokuja kuusahau katika Maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom