Kihoja cha taswira: Hivi ikitokea umejua mzazi anatoka kimapenzi na mpenzi wako utachukua hatua gani?

Ozone_

Member
Dec 30, 2023
88
106
Habari za mda tena, nawasalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Hivi ikitokea siku miongoni mwa siku ukajua kuwa mzee/ Bi mkubwa wako anatoka kimapenzi na mpenzi wako ambae ndiyo kwanza umeanza mahusiano muda mchache na kama ni kimasihara ushapiga mara chache.

Katika hilo ukute kama ni pesa unayotoa kwa huyo mtu wako mzee/bi mkubwa anatoa mara sita zaidi ya kile unachokitoa kwa mpenzi.

Je, mdau utachukua uamuzi gani?
 
Nitamuachia mzazi aendelee kufaidi utamu wa mpenzi wangu. Halafu nitatafuta mpenzi mpya ambaye atafaa kuwa mume au mke halali wa ndoa. Nitaoa nitaishi naye na kuzaa watoto kumi.
 
Hii inatafakarisha! Maana kwa desturi zetu, ni mara chache sana hili kutokea na mara nyingi, labda kwa mzazi ambaye atakuwa na mapungufu, in that scenario, njia rahisi ya kumuendea itategemea na his/her level of kujitambua.

Ila mind you, mzazi ni mzazi tu, hivyo ktk kila namna, jitahidi kuepuka kumfedhehesha kwa kuwa, regardless ya mapungufu aliyonayo, Mungu ameachilia baraka na laana kwao.

Hivyo, ni vema kutatua jambo ktk njia ambayo itajenga zaidi kuliko kubomoa.
 
Mada za kipumbavu hizi.
Ni kweli, ila mara nyingine tuchukulie mambo ktk uwepesi wake na kuyatafakari. Inaweza ikawa ni ngumu kwa baadhi ya familia kutokana na misingi/imani ila ikawezekana kwa baadhi. Katika upumbavu mwingi nina amini unaweza kuta hata gramu 1 ya hekima
 
Ni kweli, ila mara nyingine tuchukulie mambo ktk uwepesi wake na kuyatafakari. Inaweza ikawa ni ngumu kwa baadhi ya familia kutokana na misingi/imani ila ikawezekana kwa baadhi. Katika upumbavu mwingi nina amini unaweza kuta hata gramu 1 ya hekima
Kwa ulichoandika hapa, hakuna hata chamber ya hekima. Ni upuuzi wa hali ya juu pamoja na kujidharirisha.
 
Upumbavu tu, sema kwa kizazi cha sasa ni mfano hai.

Ndio maana ndoa ni muhimu, inatuepusha na mambo ya kipumbavu kama haya uzeeni.
 
Hapo mpenzi na mzazi wote wa hovyo, mzazi anajua huyu ni mpenzi wa mwanae ila kakukubali na anajua si sahihi vivo hivyo kwa mpenz nae anajua fika huyo ni mzazi wa mwenzake ila kaamua kufanya ufuska.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom