Ni ipi kati ya TMDA na TRA inalipa vizuri?

Kwa taarifa yako TRA wanazidiwa na BOT tu tena kwa kiasi kidogo sana, acheni hizo stori za barabarani.
Okay sawa best.
ivi TRA DEGREE holder anaanza na sh ngapi?
Na TMDA degree holder anaanza na Salary kiasi gani??.

HApo sijazungumzia Allowance
 
Sio TRA tu wizi sana hawa watu kila eneo..jana nilikua temeke pale kuna mpangaji wetu alikunywa sumu yaani kuna dawa ina uzwa elfu 30...ila watoa huduma wanakuambia na risiti elfu 30 bila ya risiti elfu 20.

Yaani kila mtu ana tamaa
Sasa ujaongeza mishahara mika 6 unategemea watu wasiwe wezi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kapata barua ya uhamisho ila haisem habar ya Mshahara. Sasa ndio anauliza wapi aende.
focus yake ni mshshara na Marupurupu mengi yapo taasisi ipi hapo?
Barua za uhamisho zinatoka UTUMISHI sasa how come apewe mbili? Hata kama aliomba kote sidhani kama ni rahisi apate barua mbili maana UTUMISHI wapo sophisticated sana siku hizi sio paperwork kama zamani
 
Ata mimi nimehisi harufu ya uongo ktk hili mana utumishi hawawezi kukupa barua mbili eti alaf uchague unataka kwenda wapi!!!!!😄😄 ingekuwa rahisi namna hiyo huko almashauri asingebaki mtu. Alaf kwa hizo taasisi alizozitaja si rahisi kupata chance ya kuhamia
 
Ukisoma huu uzi wengi wanasema nenda sehemu A kuna madili ya hapa na pale... halafu bado mnalaumu fulani ni fisadi mkubwa ilihali hata wengi mnawaza ufisadi ila hamjapata fursa ya kufisidi.

uzalendo kwa vijana ni changamoto sana, mtu anawaza malipo kuliko kazi yenyewe.
 
Mzalendo alikua Nyerere tu,nitajie rais mwingine ambae hakua mpigaji.
 
Okay sawa best.
ivi TRA DEGREE holder anaanza na sh ngapi?
Na TMDA degree holder anaanza na Salary kiasi gani??.

HApo sijazungumzia Allowance
Serikali na taasisi zake hazina mishahara mizuri unless ule rushwa na ufanye fraud hapa naongelea safari na mikutano hewa.
 
Ata mimi nimehisi harufu ya uongo ktk hili mana utumishi hawawezi kukupa barua mbili eti alaf uchague unataka kwenda wapi!!!!!😄😄 ingekuwa rahisi namna hiyo huko almashauri asingebaki mtu. Alaf kwa hizo taasisi alizozitaja si rahisi kupata chance ya kuhamia
Huyu mtu muongo sana mi nimehama taasisi kadhaa najua how hard it is hadi unahama
 
Ukisoma huu uzi wengi wanasema nenda sehemu A kuna madili ya hapa na pale... halafu bado mnalaumu fulani ni fisadi mkubwa ilihali hata wengi mnawaza ufisadi ila hamjapata fursa ya kufisidi.

uzalendo kwa vijana ni changamoto sana, mtu anawaza malipo kuliko kazi yenyewe.
Kila mtu ni fisadi sema wengine ni nafasi tu hawajapata-pengo
 
Barua za uhamisho zinatoka UTUMISHI sasa how come apewe mbili? Hata kama aliomba kote sidhani kama ni rahisi apate barua mbili maana UTUMISHI wapo sophisticated sana siku hizi sio paperwork kama zamani

Ata mimi nimehisi harufu ya uongo ktk hili mana utumishi hawawezi kukupa barua mbili eti alaf uchague unataka kwenda wapi!!!!!😄😄 ingekuwa rahisi namna hiyo huko almashauri asingebaki mtu. Alaf kwa hizo taasisi alizozitaja si rahisi kupata chance ya kuhamia

Mi binafsi ni mwajiriwa wa halmashauri.

Nishatuma application/transfer kwenye mashirika 12 kwa mwaka huu (2021) tu.

Kati ya hayo...
1 lilininibu kwa barua HAWANA NAFASI hivyo wataangalia mwaka ujao wa Fedha kama wananihitaji wataniitaa.

2 wamenipigia simu na kuniambia nimefanikiwa hivyo nisubiri barua.

8 wamekaa kimyaa. Ila sijakata tamaa naamini watanijibu tu.

Hili la barua kushuka zaidi ya moja hutokea.

Na Mimi nategemea hivyo....🤗🤗🤗

Na nikwambie tu nitaendelea kuomba mpaka nipokee barua MKONONI.

Wiki ijayo natuma Tena kwenye TAASISI 3..!!!

Mwaka 2022 nimepanga kutuma barua kwenye mashirika 14..!!

Huwa nikitaka langu situlii mpaka nilipate.

Na kwa halmashauri NITAONDOKA TU..!!!

Hili la transfer nililianza January 2021 kwa kila mwaka kutuma barua zaidi ya 10 kwa mashirika tofauti.

Target yangu ni mashirika 14 Nisha ya fanyia research na Nina full info kuhusu wao.

Mwaka 2021 nimetuma kwenye mashirika 12

Na mwaka 2022 natuma kwenye mashirika 14...!!!

Its not over until it's over.

#YNWA
 
Uko kitengo gani halmashauri, na kwa nini unataka kupakimbia?
 
DED falaaaa
MADIWANI waseng****

Kifupi HALMASHAURI HAKUNA FEATURE zaidi ya kushushiana LAWAMA tu.
Halmashauri haina chochotee kuhusu Career development.

Kuhusu kitengo ACHANA NACHO..!!

#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, hizo mbili walizokujibu kua nafasi zipo huzipendi au mbona unasema unaendelea na mchakato wa kuomba mashirika 14 mwaka ujao
 
Mi binafsi ni mwajiriwa wa halmashauri.

Nishatuma application/transfer kwenye mashirika 12 kwa mwaka huu (2021) tu.

Kati ya hayo...
1 lilininibu kwa barua HAWANA NAFASI hivyo wataangalia mwaka ujao wa Fedha kama wananihitaji wataniitaa.

2 wamenipigia simu na kuniambia nimefanikiwa hivyo nisubiri barua.

8 wamekaa kimyaa. Ila sijakata tamaa naamini watanijibu tu.

Hili la barua kushuka zaidi ya moja hutokea.

Na Mimi nategemea hivyo....[emoji847][emoji847][emoji847]

Na nikwambie tu nitaendelea kuomba mpaka nipokee barua MKONONI.

Wiki ijayo natuma Tena kwenye TAASISI 3..!!!

Mwaka 2022 nimepanga kutuma barua kwenye mashirika 14..!!

Huwa nikitaka langu situlii mpaka nilipate.

Na kwa halmashauri NITAONDOKA TU..!!!

Hili la transfer nililianza January 2021 kwa kila mwaka kutuma barua zaidi ya 10 kwa mashirika tofauti.

Target yangu ni mashirika 14 Nisha ya fanyia research na Nina full info kuhusu wao.

Mwaka 2021 nimetuma kwenye mashirika 12

Na mwaka 2022 natuma kwenye mashirika 14...!!!

Its not over until it's over.

#YNWA
Duuh

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom