tutunfyekyela
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 473
- 786
Tawiri,Tanapa,Tanesco,TMDA,..........nimwchekaje aisee jombaaaWewe ukiona Taasisi yoyote ya serikali inaanzia na T T nenda kafanye kaz hela zipo sjui TFDA sjui TANAPA huko ndo penyewe
Tawiri,Tanapa,Tanesco,TMDA,..........nimwchekaje aisee jombaaaWewe ukiona Taasisi yoyote ya serikali inaanzia na T T nenda kafanye kaz hela zipo sjui TFDA sjui TANAPA huko ndo penyewe
😁😁😁😁Tawiri,Tanapa,Tanesco,TMDA,..........nimwchekaje aisee jombaaa
Na TAKUKURU ipo?Wewe ukiona Taasisi yoyote ya serikali inaanzia na T T nenda kafanye kaz hela zipo sjui TFDA sjui TANAPA huko ndo penyewe
Yaani hapa ndo nimeona kumbe watanzania sisi karibu wote ni wezi..hakuna mwanasiasa wala raia wa kawaidaWengi wanakwambia tra deal hawajui tu mifumo Sasa kila kitu digital na ukipiga hela utaishia jela Takukuru kila corner so ka una tamaa na mwizi mwizi usiende TRA, na huko TRA walioko vizuri ni walioko borders
Kasoro Nyerere tu.Yaani hapa ndo nimeona kumbe watanzania sisi karibu wote ni wezi..hakuna mwanasiasa wala raia wa kawaida
Nyerere alitawala wakati wa giza hatuwezi kusema ila alijitahidi kuficha tamaa yake.Kasoro Nyerere tu.
Watu wengi wanapenda TRA ili kupiga ma deal tu na sio kutumikia nchiYaani hapa ndo nimeona kumbe watanzania sisi karibu wote ni wezi..hakuna mwanasiasa wala raia wa kawaida
Sio TRA tu wizi sana hawa watu kila eneo..jana nilikua temeke pale kuna mpangaji wetu alikunywa sumu yaani kuna dawa ina uzwa elfu 30...ila watoa huduma wanakuambia na risiti elfu 30 bila ya risiti elfu 20.Watu wengi wanapenda TRA ili kupiga ma deal tu na sio kutumikia nchi
Sio hauwezi kusema,ulishawahi kusikia anasingiziwa kuiba Nini?Nyerere alitawala wakati wa giza hatuwezi kusema ila alijitahidi kuficha tamaa yake.
Nchi yetu ina shida kuanzia ma adili ya taifa sijui tumekosea watu kila mtu, mwizi janja janja na tapeli uaminifu hata wa kazi ni changamotoSio TRA tu wizi sana hawa watu kila eneo..jana nilikua temeke pale kuna mpangaji wetu alikunywa sumu yaani kuna dawa ina uzwa elfu 30...ila watoa huduma wanakuambia na risiti elfu 30 bila ya risiti elfu 20.
Yaani kila mtu ana tamaa
Sio hauwezi kusema,ulishawahi kusikia anasingiziwa kuiba Nini?
Yaani sina hata la kusema.Nchi yetu ina shida kuanzia ma adili ya taifa sijui tumekosea watu kila mtu, mwizi janja janja na tapeli uaminifu hata wa kazi ni changamoto
Kama alishindwa Cha kuiba,kwanini hakujimilikisha maelfu ya ekari za ardhi Kama Kenyatta?au huo sio wizi?Nimesema hatuwezi sema alitawala gizani nchi ikiwa hoi hakukua na madili kama sasa na mwisho nikasema alijitahidi kuficha tamaa yake.
Siyo karibu mkuu hiyo karibu unaiweka ya nini?sema sisi watanzania wote ni wezi,mtaani watu wanaiba kwa kutumia nguvu maofisini watu wanaiba kwa kutumia kile wamesomea shule.Yaani hapa ndo nimeona kumbe watanzania sisi karibu wote ni wezi..hakuna mwanasiasa wala raia wa kawaida
Mkuu mtu akiitwa baba wa taifa si rahisi kusemwa mapungufu yake...anyway Nyerere hajawahi kuibaKama alishindwa Cha kuiba,kwanini hakujimilikisha maelfu ya ekari za ardhi Kama Kenyatta?au huo sio wizi?
[emoji16]Siyo karibu mkuu hiyo karibu unaiweka ya nini?sema sisi watanzania wote ni wezi,mtaani watu wanaiba kwa kutumia nguvu maofisini watu wanaiba kwa kutumia kile wamesomea shule.
In short...ni ngoma droo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako TRA wanazidiwa na BOT tu tena kwa kiasi kidogo sana, acheni hizo stori za barabarani.Na kwel bhana mtu ukisikia yupo TRA Unaona km ana status fulan hivii kuliko Taasisi zingine
😃😃😃Daaah!! cjui nani ameona au amehisi kama mm.TMDA VS TRA
Habar wadau mpo pouwah.
Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?
A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..
Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...