Mi binafsi ni mwajiriwa wa halmashauri.
Nishatuma application/transfer kwenye mashirika 12 kwa mwaka huu (2021) tu.
Kati ya hayo...
1 lilininibu kwa barua HAWANA NAFASI hivyo wataangalia mwaka ujao wa Fedha kama wananihitaji wataniitaa.
2 wamenipigia simu na kuniambia nimefanikiwa hivyo nisubiri barua.
8 wamekaa kimyaa. Ila sijakata tamaa naamini watanijibu tu.
Hili la barua kushuka zaidi ya moja hutokea.
Na Mimi nategemea hivyo....🤗🤗🤗
Na nikwambie tu nitaendelea kuomba mpaka nipokee barua MKONONI.
Wiki ijayo natuma Tena kwenye TAASISI 3..!!!
Mwaka 2022 nimepanga kutuma barua kwenye mashirika 14..!!
Huwa nikitaka langu situlii mpaka nilipate.
Na kwa halmashauri NITAONDOKA TU..!!!
Hili la transfer nililianza January 2021 kwa kila mwaka kutuma barua zaidi ya 10 kwa mashirika tofauti.
Target yangu ni mashirika 14 Nisha ya fanyia research na Nina full info kuhusu wao.
Mwaka 2021 nimetuma kwenye mashirika 12
Na mwaka 2022 natuma kwenye mashirika 14...!!!
Its not over until it's over.
#YNWA