Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,114
- 2,382
Wengi wanapitia kwenye kichaka cha Uzalendo Fake ukija kustuka ni too late.Kasoro Nyerere tu.
Wengi wanapitia kwenye kichaka cha Uzalendo Fake ukija kustuka ni too late.Kasoro Nyerere tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa yaani tunachotofautiana ni fursa ya kuiba. Maana jaribu kuwazia namna watu wanalalamika viongozi wao wakiiba halafu tazama wao wanavyo bargain kuiba hapa as if wao wizi wao ni halali yao.Yaani hapa ndo nimeona kumbe watanzania sisi karibu wote ni wezi..hakuna mwanasiasa wala raia wa kawaida
Hahaaa halmshauri wapu.mbavu wengi na ujinga mwingi kuanzia DED, wakuu wa idara, watendaji na madiwani kwahyo ni fujo mtindo mmoja best angu yuko halmshauri anayo nisimulia huwa namhurumia sana aisee ningekuwa Mimi ningeshaacha kazi siku nyingi mno bila kugeuka nyuma. Ili u enjoy halmshauri labda uwe mchawiDED falaaaa
MADIWANI waseng****
Kifupi HALMASHAURI HAKUNA FUTURE zaidi ya kushushiana LAWAMA tu.
Halmashauri haina chochotee kuhusu Career development.
Kuhusu kitengo ACHANA NACHO..!!
#YNWA
Hahaaa halmshauri wapu.mbavu wengi na ujinga mwingi kuanzia DED, wakuu wa idara, watendaji na madiwani kwahyo ni fujo mtindo mmoja best angu yuko halmshauri anayo nisimulia huwa namhurumia sana aisee ningekuwa Mimi ningeshaacha kazi siku nyingi mno bila kugeuka nyuma. Ili u enjoy halmshauri labda uwe mchawi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa yaani tunachotofautiana ni fursa ya kuiba. Maana jaribu kuwazia namna watu wanalalamika viongozi wao wakiiba halafu tazama wao wanavyo bargain kuiba hapa as if wao wizi wao ni halali yao.
Respect bro,barua zote hizo DED anapitisha?Mi binafsi ni mwajiriwa wa halmashauri.
Nishatuma application/transfer kwenye mashirika 12 kwa mwaka huu (2021) tu.
Kati ya hayo...
1 lilininibu kwa barua HAWANA NAFASI hivyo wataangalia mwaka ujao wa Fedha kama wananihitaji wataniitaa.
2 wamenipigia simu na kuniambia nimefanikiwa hivyo nisubiri barua.
8 wamekaa kimyaa. Ila sijakata tamaa naamini watanijibu tu.
Hili la barua kushuka zaidi ya moja hutokea.
Na Mimi nategemea hivyo....[emoji847][emoji847][emoji847]
Na nikwambie tu nitaendelea kuomba mpaka nipokee barua MKONONI.
Wiki ijayo natuma Tena kwenye TAASISI 3..!!!
Mwaka 2022 nimepanga kutuma barua kwenye mashirika 14..!!
Huwa nikitaka langu situlii mpaka nilipate.
Na kwa halmashauri NITAONDOKA TU..!!!
Hili la transfer nililianza January 2021 kwa kila mwaka kutuma barua zaidi ya 10 kwa mashirika tofauti.
Target yangu ni mashirika 14 Nisha ya fanyia research na Nina full info kuhusu wao.
Mwaka 2021 nimetuma kwenye mashirika 12
Na mwaka 2022 natuma kwenye mashirika 14...!!!
Its not over until it's over.
#YNWA
Halmshauri zenye mapato makubwa watu wanapata ela Sana tu, DED akiwa sio mnokoHahaaa halmshauri wapu.mbavu wengi na ujinga mwingi kuanzia DED, wakuu wa idara, watendaji na madiwani kwahyo ni fujo mtindo mmoja best angu yuko halmshauri anayo nisimulia huwa namhurumia sana aisee ningekuwa Mimi ningeshaacha kazi siku nyingi mno bila kugeuka nyuma. Ili u enjoy halmshauri labda uwe mchawi
Napiga counter..!!!Respect bro,barua zote hizo DED anapitisha?
... Sijui TPA hukoWewe ukiona Taasisi yoyote ya serikali inaanzia na T T nenda kafanye kaz hela zipo sjui TFDA sjui TANAPA huko ndo penyewe
Hapana aisee, Mimi hata kwa fimbo sifanyi halmshauriWewe uko wapi?
Sio mwalimu wewe?
#YNWA
Kwa system ya utendaji wa kipumb.avu mtu timamu na yuko vizuri hawezi kufanya huko kazi aisee, vipanga wengi wako sector binafsi watu walio aggressive na Wana makampuni, serikalini ni kichomi, utendaji wa slow slow ka konokono na wiziHalmshauri zenye mapato makubwa watu wanapata ela Sana tu, DED akiwa sio mnoko
Usiseme hufanyi.Hapana aisee, Mimi hata kwa fimbo sifanyi halmshauri
Wewe upo private?Kwa system ya utendaji wa kipumb.avu mtu timamu na yuko vizuri hawezi kufanya huko kazi aisee, vipanga wengi wako sector binafsi watu walio aggressive na Wana makampuni, serikalini ni kichomi, utendaji wa slow slow ka konokono na wizi
Dah ningekosa huko heri niwe mjasiriamali, serikalini wavivu na inaua talents za wengi sio halmshauri tu sector nyingi shida tupu.Usiseme hufanyi.
Shukuru Mungu hukupata Halmashauri.
Unadhani ungeajiriwa halmashauri halafu ukute huna option yoyote.
Unadhani ungefanyaje?
#YNWA
Hii sector binafsi labda ungeanisha kidogo ni zipi ila Kwa ujumla wake Kuna sector binafsi ni Ujinga mtupu mara mia hata halmashauri, tumetokea huko kabla ya kuamua kuingia serikalini,halafu pia serikalini Kuna taasisi zipo vizuri mno kwenye kukua kitaaluma na kiuchumi pia.Kwa system ya utendaji wa kipumb.avu mtu timamu na yuko vizuri hawezi kufanya huko kazi aisee, vipanga wengi wako sector binafsi watu walio aggressive na Wana makampuni, serikalini ni kichomi, utendaji wa slow slow ka konokono na wizi
Dah ningekosa huko heri niwe mjasiriamali, serikalini wavivu na inaua talents za wengi sio halmshauri tu sector nyingi shida tupu.
Kuna conditions za mtu kuongea hivi labda mwenzetu wewe utakuwa mtoto wa kitajiri pesa sio shida kabisa kwenu chochote kile ukihitaji unatimiziwa tena kwa wakati. Tofauti na hapo kukataa kazi kisa ni Almashauri itakuwa story tu za mtandaoni tu. Achana kabisa kuwa na maisha yasiyoeleweka then unawatu wanakutegemea either wadogo zako ama wazazi wako na jicho lao lipo kwako. Umemaliza chuo miaka 2,3,4,5,6 upo mtaani huna dira yoyote unafanya kazi kwa wahindi au vikampuni vya ajabu ajabu ambako mnakuita (private sector) NB sio private sector zote za ajabu ila 75% za ajabu unamnufaisha mwajiri tu maslai duni hakuna job security uwepo wako kazin unategemea boss kaamkaje, mshahara unaishia kwenye bus fare na kula tu then unakuja kupata kazi Almashauri serikalini hizo guts za kukataa kazi unazitoa wapi?!😀😀 Kuna almashauri niliona wametangaza nafasi za afisa mtendaji wa mtaa 5 lakin siku ya usahili walifika watu zaidi ya 200😂. Mungu atusaidie tu kwa kweli ila tusidanganye mtaani pagumu mnoHapana aisee, Mimi hata kwa fimbo sifanyi halmshauri
Madam nilianza ajira 2011 huko sector binafsi Tena kwa mwekezaji mkubwa tu hapa nchini.Dah ningekosa huko heri niwe mjasiriamali, serikalini wavivu na inaua talents za wengi sio halmshauri tu sector nyingi shida tupu.
Mimi sio tajiri ni wakawaida tu ila halmshauri kwangu hapana na huu ni ukweli wangu nguvu zangu acha niwekeze kwenye mengine tu nitafika kuliko hyo njia marafiki wote tu ni kilio na stress tupuKuna conditions za mtu kuongea hivi labda mwenzetu wewe utakuwa mtoto wa kitajiri pesa sio shida kabisa kwenu chochote kile ukihitaji unatimiziwa tena kwa wakati. Tofauti na hapo kukataa kazi kisa ni Almashauri itakuwa story tu za mtandaoni tu. Achana kabisa kuwa na maisha yasiyoeleweka then unawatu wanakutegemea either wadogo zako ama wazazi wako na jicho lao lipo kwako. Umemaliza chuo miaka 2,3,4,5,6 upo mtaani huna dira yoyote unafanya kazi kwa wahindi au vikampuni vya ajabu ajabu ambako mnakuita private hakuna job security uwepo wako kazin unategemea boss kaamkaje, mshahara unaishia kwenye bus fare na kula tu then unakuja kupata kazi Almashauri serikalini hizo guts za kukataa kazi unazitoa wapi?![emoji3][emoji3] Kuna almashauri niliona wametangaza nafasi za afisa mtendaji wa mtaa 5 lakin siku ya usahili walifika watu zaidi ya 200[emoji23]. Mungu atusaidie tu kwa kweli ila tusidanganye mtaani pagumu mno
Pole maisha ni kuwa risk taker, Sasa huo mda wote sio mchezo utakuwa umeshazoea sasaMadam nilianza ajira 2011 huko sector binafsi Tena kwa mwekezaji mkubwa tu hapa nchini.
Ila sikuelewa chochote ndipo nikaona Heri nikimbilie serikalini.
#YNWA