Kati ya Toyota vanguard, Toyota harriers na Toyota kluger ni ipi nzuri?

kantalambaz

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,878
872
Wadau habari za kazi
Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana?

Natanguliza shukrani.
 
Haitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua, usipokuwa makini na uendeshaji wako. Hivyo, kama anataka usafiri usiosumbua basi achukue baiskeli.

Kama ana bajeti ya kununua Van Guard, basi aichukue.

Kluger na Harrier ni gari moja. Isipokuwa muonekano.
Haitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua.

## Hajaeleweka huyo jamaa. Hata mke/mchepuko wake unamsumbua, sembuse chuma? ##
 
Haitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua, usipokuwa makini na uendeshaji wako. Hivyo, kama anataka usafiri usiosumbua basi achukue baiskeli.

Kama ana bajeti ya kununua Van Guard, basi aichukue.

Kluger na Harrier ni gari moja. Isipokuwa muonekano.
Hata baiskeli inasumbua usipokuwa makini na hata kutembea kwa miguu nako kunasumbua usipokuwa makini
 
Wadau habari za kazi
Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana?

Natanguliza shukrani.
Mi naona kabla hatujaenda mbali na mjadala labda ungesema zote ziwe za mwaka gani,maana kadri miaka inavyoenda kila mmoja anarekebisha hitilafu kwenye gari zake...
 
Back
Top Bottom