Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

hiyo ni PART I, PART II itakuwa titled "WAZIRI JANGILI SI JANGILI TENA"
 
yani hata kwa kutumia majina ya uongo tunayoyatumia hapa bado watu wanaogopa kutaja, ndio tutegemee gazeti linalojulikana hadi viongozi wake litaje!!! kweli nchi imekuwa ya MAFISI
ningemjua mimi ningetaja
 
Mh, RAIS alituhakikishia ana majina ya majangili wakubwa na kiongozi wao yupo arusha mpaka leo anasubiri nini?
 
Gazeti kama gazeti wamefanya yao tayari! !!!!!

Huu sio uchunguzi wa mwandishi hata siku moja, "hii ni kazi" na imefanywa na "WATU" sasa hawa walioandika lazima wamepewa conditions za kuandika, ndio maana ile "sheria" ikirudi mengi yatakuwa yanawezekana sababu hapa ingekuja repoti na kazi ingekuwa saa hizi iko mwishoni lakini mchagua mchele sio mpishi so hata mkilaumu chakula sio kitamu yeye hana la kufanya!!!!

Katiba ina mengi ya kusaidia kuliko idadi ya serikali ila wanaelekeza mjadala huko makusudi ili pingu zibaki wazi waingize mikono na kutoa bila kubanwa!!!!

Wamewafanya vibogoyo ili wawe wabwekaji tu........then wale "wepesi" wakang'ate kinafiki....shame on them....
 
...Mbona anajulikana, sasa weye unataka utafuniwe.....singida, anajichubua, domodomo....aliwafukuza wale mabosi wasomi maana walishaanza kusogelea anga zake...aliwahi kutolewa benzi na sungusungu maana walijua alikuwa amebeba nyara, wakati wa kampeni za ubunge ni yeye tu ktk magamba aliyetumia chopa...sijui alikuwa anaangalia maeneo yenye tembo pia....anasimamia ujangili kwa niaba ya bosi wake...ana uraia pacha the the the teh...
"Jina limehifadhiwa kwa sasa"... Ili iweje?
 
Sasa huku kwetu kuna mbunge gani aliyepigia kelele hela za Swiss kama siyo Mpina? Pia na yeye bado ni kijana kwa taarifa yako! Yuko under 40!

Je yule anayetokea kigoma mwanzilishi wa hayo mabilioni ya uswis hahusiki hapo.
 
Mbona Mnaumiza Vichwa Bure, Kwani Hamjui Chama Kinachotawala Ni Chama Cha Majangiri Na Majambazi, Acheni Kunichekesha
 
Ukiona hivyo jua fitna iko njiani yaja....jina lake litaonekana tu kwenye mawimbi yanayokwenda au yale yanayorudi
 
Hawa jamaa mwaka 2005 ndo walitumika kuchafua wagombea wengine. Walisema Salim na genge lake walimuua Karume na wakasema Sumaye ana mabilioni mengi aliyokwiba... Baada ya baba Riz kuingia mjengoni mmoja wa waandishi wao akawa mwandishi wa ikulu... Walipoona gazeti lao haliuziki tena wakamuuzia Rostam ndo wakaenda kuanzisha Raia Mwema. Kazi naona imeanza tena...
 
Umelewa gongo, mnatengeneza majungu hao hao mnaanza kuyakwepa, mtajeni huyo Waziri mnaetaka kumpaka matope muone kama hamjaozea segerea kwa kukosa kuthibitisha uzushi wenu.
Wewe ndu.ku.M mapovu ya nini sasa?

Au ni wewe ndo maana unaanza kujambajamba ovyo ovyo hapa? Ngoja usipowapa kitu kidogo RM watakuchana sasa hivi tuone utawapeleka wapi! Nya.mba.fff!!
 
Nakumbuka miaka mitatu iliopita Nyarandu kabla hajawa Naibu Waziri amewai kukimbizwa ,gari yake iligonga vizuizi ikakimbia
 
Haya ni mauwongo makubwa kabisa imagine waziri anakutwa na pembe za ndovu, hii itakuwa balaa ya mwaka. Na huyo waziri sijui atakuwa wa namna gani!! Maana kuna makosa hata mwehu hawezi fanya ndio hili.

Jamaa waache kumsingizia Waziri wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom