WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Tawire mganga.
Nyalandruu,zzitoo.
Tawire???
Jei kei naye yumo tawiree!!
Nyalandruu,zzitoo.
Tawire???
Jei kei naye yumo tawiree!!
Hata mimi naona kama kuna Nyalandu na maestro Zitto. Hawa jamaa matajiri na wapo close na mkuu wa nchi ndiyo maana hawachukuliwi hatua! Unafikiri mkuu hajui? Tz ni moja ya nchi yenye the best intelligence system in the world!!
......Unafikiri mkuu hajui? Tz ni moja ya nchi yenye the best intelligence system in the world!!
Mawaziri wote wa ccm mbona wote ni majangiri
Nahisi Raia Mwema wanataka kitu kidogo kwa huyo Waziri jangili
Tanzania hakuna waandishi wa habari. Tangu walipozuiliwa kuingia na vitendea kazi katika mkutano wa 'mmiliki' wa Dowans, niliwadharau na kuwaona wapuuziii kabisa....