Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Hao waandishi kulikuwa na haja gani yakupoteza muda kuandika ushetani woote huu kama hana nia yakuwataja wahusika. Hivi jina kuhifadhiwa tafsri yake si anamfahamu musika.

Nikubali serial I kuhusika 100% coz kama haiusiki kwanini wasichukue hatua wakati ushahidi wote upo RAIA Mwema. Jina kuhifadhiwa maana halisi nikwamba wanafahamu muovu lakini mwandishi anashirikiana na Hugo muovu kuficha mazambi. Kwanini serikali isitumie ushahidi wakimazingira na huu wakutoka RAIA Mwema kumchukulia hatua huyo Nyalandu.
 
si mumtaje kama razaro nyarandu semeni ,acheni unafiki
Waandishi ni Wanafiki na hawana uchungu na Nchi hii. Kusema Razalo Nyalandu wanaogopa nini. Kama wameweza kikusanya ushahidi wote huu tena Wanamajina yawahusika na namba zao za simu hii ni rahisi kwa serikali kuwakamata wahusika.
 
Hili jukwaa naona limeingia vilaza wa kutosha.
Tutasonga hivyohivyo maana haiwezekani kuingia kwenye ubongo wa mtu umsaidie kufikiri
 
Anatembelea Singida,analala katika Hoteli ****,amekabidhiwa wizara nyeti hivi karibuni (Presumably ya senti senti na chenji kidogo).
Huyu atakuwa naniiii aah naniiii.Loh jina limenitoka tena.

si yule anaevaaga skafu?
 
Kijigazeti kimejaa majungu tupu! Oooh, waziri fulani, anapatikana maeneo fulani, ana dema ana lafudhi, acheni upuuzi, mtajeni na mtoe ushahidi wenu kwa DCI ili wafuatiliwe, msituchanganye hapa na majungu yenu!
 
Wabongo kwakulaumu hatujambo
Kwanza tushukuru katufungua macho kua kunawaziri ana fanya haya mambo

Tuache kulaumu kua kwanini hajamtaja jina litajulikana tu walasikusinyingi
kumbuka kubenea kilichompata fikiri niwatuwangapi walikosa ajira na kumbuka lilegazeti likua na storikibao ambazo wapezi wasomaji tumezikosa ,kisa stori mojatu
Nampaka sasa hakuna anayehoji

we wataka ataje then afungiwe halafu iweje ?

kama kutaja ingesaidia kumwajibisha huyo muusika bila mwandishi kuumia ingekua powa ,ama kama mwandishi ange pata suport ya wananchi
 
Hawezi kutajwatajwa tena.
Mpaka muda ameshatoa chochote kuwaziba mdomo walioandika hy habari
 
Waandishi wa habari za kiuchunguzi wa gazeti la Raia Tanzania igeni uandishi wa habari za kiuchunguzi wa waandishi nguli wa gazeti la Jamhuri.
Wapeni wasomaji wenu habari zilizo wazi kuliko kuzunguka MBUYU mkiongozwa na maadili ya taaluma yenu.
 
Back
Top Bottom