Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

umeshaambiwa waziri kutoka SINGIDA na ameteuliwa juzi yaani baada ya kuunda baraza jipya la mawaziri, me najua aliye ukwaa uwaziri kutka singida ni naibu waziri mkaaa mia.

mkaa mia ni dodoma labda useme mguu wa chember
 
Mawaziri wote wa ccm mbona wote ni majangiri
na mafisadi makubwa kwa ujumla ccm wote wako hivyo ukoo wa panya wote wezi ndo maana kila siku kikwete anasema majina anayo ila kuwataja anaogopa au hayo majina ya hao majangili wanatoka mbinguni
 
Waziri anashindwaje kufanya biashara halali wakati ana kila nyenzo? Huu ni ugonjwa tu na si kingine
 
....Ngoja tusubiri labda wiki ijayo wanaweza kuamua kushuka na more details ambazo zitazidi kumuweka wazi muhusika.
kama hii habari ni ya kweli basi wiki ijayo litakuwa limeshafungiwa kwa muda usiojulikana
 
Mhs Kagasheki alipo lipua mtandao wao, wakafanya fitina wakamtoa uwaziri!!
Nyarandu akasafisha njia kuondoa mkurugenzi aliyekuwa kikwazo, kwa sasa mambo tambarale!!
 
Anatembelea Singida,analala katika Hoteli ****,amekabidhiwa wizara nyeti hivi karibuni (Presumably ya senti senti na chenji kidogo).
Huyu atakuwa naniiii aah naniiii.Loh jina limenitoka tena.

mWANDISHI ATAKUWA ANAAGUA HAPA SI BURE,
 
Mbona hamsomi habari kwa makini jamani!?

Imeandikwa kuwa waziri huyo na mtandao wake tayari wanafahamika na vyombo vya usalama!

Labda tuhoji kwanini havichukui hatua stahiki.

Kuna mtu humu JF alishauri tumhoji kwanza aliyemteua huyo waziri-Rais JK
 
Kuna Mzee anaitwa Mzee,Jina Bin Linahifadhiwa Kwasasa na mfaham huyu mzee anaishi maeneo Keko kama ndiyo yeye basi huyu mzee ni nomaa...
 
kama jina linahifadhiwa wameandikia story ya nini? Ili iweje ? Wanamhifadhia nani ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom