Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Mods, ondoa hii habari ya kipuuzi. Hapa JF we dare to speak freely and openly, sasa huyu mwandishi uchwara asilete majungu hapa. Kama habari hii ingekuwa ya kweli basi angeanika kila kitu vinginevyo ni majungu yasiyo mbele wala nyuma.
 
Inekugusa eh?
 
Hivi JF imekuaje?Watu wameambiwa kuwa ni huyo mtu ni waziri lakini wengine mnataja manaibu waziri!Mmerogwa?
 
Tungekuwa na serekali makini, wamiliki wa raia mwema wangetakiwa wakamatwe ili wamtaje. By the way, kama kweli serekali haijui majangili ya tembo, basi haina sifa ya kuwa serekali. Usalama wa taifa wanajua na serekali inajua na raisi anajua na amesema hayo akiwa CNN ila serekali yetu haiwezi kufanya chochote kwa sababu yenyewe ni serekali ya kulinda waovu kwa sababu hakuna msafi pale. Usitegemee kitu, hata kama Raia Mwema ingemtaja ingekuwa mchezo wa kuigiza tu. Tanzania itakombolewa na chama kingine sio CCM
 
Mbona hamsomi habari kwa makini jamani!?

Imeandikwa kuwa waziri huyo na mtandao wake tayari wanafahamika na vyombo vya usalama!

Labda tuhoji kwanini havichukui hatua stahiki.
 
nyalando ameamuwa kwenda kumaliza tembo aliko zaliwa
 
Tungekuwa na serekali makini, wamiliki wa raia mwema wangetakiwa wakamatwe ili wamtaje. By the way, kama kweli serekali haijui majangili ya tembo, basi haina sifa ya kuwa serekali. Usalama wa taifa wanajua na serekali inajua na raisi anajua na amesema hayo akiwa CNN ila serekali yetu haiwezi kufanya chochote kwa sababu yenyewe ni serekali ya kulinda waovu kwa sababu hakuna msafi pale. Usitegemee kitu, hata kama Raia Mwema ingemtaja ingekuwa mchezo wa kuigiza tu. Tanzania itakombolewa na chama kingine sio CCM

mkuu huo ndio ukweli....
 
Mbona hamsomi habari kwa makini jamani!?

Imeandikwa kuwa waziri huyo na mtandao wake tayari wanafahamika na vyombo vya usalama!

Labda tuhoji kwanini havichukui hatua stahiki.

Nadhani kama huenda u mgeni Tanzania na serekali ya CCM. Hakuna wa kumchukulia hatua mwenzake katika serekali ya CCM. Kama raisi anaweza akasema kuwa wezi nawajua lakini nawaambia achene huku akitabasamu, kama raisi ameletewa majina 100 ya wauza unga lakini wote hao akawaacha hakuwachukulia hatua yoyote, kama raisi aliwaambia wezi wa EPA warudishe walichoiba bila kushughulikiwa, utadhani serekali itaweza kushughulikia jangili la tembo. Kama waziri kwenye serekali ndiye jangili la tembo na anafahamika,
 
jina linahifadhiwa,jina linahifadhiwa,jina linahifadhia...@@€ %* sana huyu muandishi. Anataka rushwa tu.
 
"Jina limehifadhiwa kwa sasa"... Ili iweje?

Hivi unadhani kwa mazingira ya sasa hata akitajwa jina kuna lolote litabadilika? Mmesahau kuwa kuna mbunge alitajwa kuhusika na masuala ya madawa ya kulevya...lakini mpaka sasa hakuna kinanchoendelea? Nilishapendekeza huko nyuma kuwa masuala ya ufisadi, ujangili na madawa ya kulevya hayawezi kukabiliwa kwa njia (rasmi)za kawaida tulizozizoea yaani Polisi na mahakama...zinatakiwa njia mbadala zinazohitaji matumizi ya polisi na mahakama kwa asilimia mbili tu. Asilimia 98 ichukuliwe na njia hizo mbadala tena zisizo rasmi.
 
Anatembelea Singida,analala katika Hoteli ****,amekabidhiwa wizara nyeti hivi karibuni (Presumably ya senti senti na chenji kidogo).
Huyu atakuwa naniiii aah naniiii.Loh jina limenitoka tena.

Lugumwi nini??
 
ni bora mngesubiri kuhakikisha hii habari kwa kuwatafuta wahusika wote kuthibitisha, halafu ndio mngetoa full habari na hayo yote yaliyohifadhiwa, nini maana ya habari za uchunguzi? bora hii habari mngewapa ----- wangeweka wazi, maana hapa kama dili hivi? mmetoa mwanzo hili wakijua wawafuate na kuwapoza.
 
umeshaambiwa waziri kutoka SINGIDA na ameteuliwa juzi yaani baada ya kuunda baraza jipya la mawaziri, me najua aliye ukwaa uwaziri kutka singida ni naibu waziri mkaaa mia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom