Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

raia mwema wanazingua kila kitu tunahifadhi kwa sasa......mwandishi jina kaficha ,mawakala majina yamefichwa,no za simu zimefichwa kichwa cha habari " waziri jangili huyu hapa" ukisoma unashindwa hata kugesi ni nani!!!! upuuzi mtupu kama gazeti la udaku.
 
Inaudhi sana hii kitu, kama wana ushahidi kiasi hiki kwanini wasianike kila kitu hadharani? Raia Mwema najua baadhi yenu mnapita huku badilikeni katika uandishi wenu ili mkiamua kuandika habari ya ufisadi/ujangili au rushwa basi muweke kila kitu hadharani.

ndipo ninapomuheshimu Side Kubenea hapo Wa Mtoto Halisi hapo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabla mtu hajateuliwa kuwa waziri security services haimfanyii uchunguzi? Iweje sasa kuwepo waziri mwenye shutuma kubwa kiasi hiki? Kama hizi habari zina ukweli wowote nina hakika kabisa anajulikana na vyombo vya usalama na hata akitajwa ni nani hakuna hatua itakayochukuliwa dhidi yake.

Mkuu wanafanyia karibu watumishi wote kwenye idara nyeti. Sema ndio ukishaingia kwenye network unakuwa mwingine. Muda mwingine hata kama hafai anaingizwa na wakubwa kwa ajili ya kutumika.
Kuna haja sana ta kuweka madaraka ya raisi au serikali mbali na taasisi za ulinzi.

The king.
 
Yule huwa hamung'unyi hata kidogo. Akiweka hadharani habari basi anaweka kila kitu bila kubakisha hata kiduchu hata msomaji unaposoma habari hiyo unaielewa A to Z. Nakumbuka kwa mfano ushahidi aliouweka kwenye gazeti la ----------- kuhusiana kutekwa kwa Dr Ulimboka habari ambayo ilisababisha gazeti lake kufungiwa ushahidi ule ulikuwa umejitosheleza.

ndipo ninapomuheshimu Side Kubenea hapo Wa Mtoto Halisi hapo.
 
Magazeti ya Tanzania shida tupu, habari wanawasilisha kama vitendawili.

Sasa hapa sijui wamewasilisha nini.!!
 
Upuuzi jina la waziri linahifashiwa mara jina la mfanyabiashara linahifashiwa,sijui kwa faida ya nani story za kutunga hizi.
 
Inaudhi sana hii kitu, kama wana ushahidi kiasi hiki kwanini wasianike kila kitu hadharani? Raia Mwema najua baadhi yenu mnapita huku badilikeni katika uandishi wenu ili mkiamua kuandika habari ya ufisadi/ujangili au rushwa basi muweke kila kitu hadharani.

kaka hiyo inatokana na kanuni za kiuandishi,lazima umuhoji kwanza mhusika akikujibu ndo unataja jina,bila kusikiliza upande wake wa stori,utaonekana umevunja maadili ya kiuandishi,na sababu nyingine labda wasije wakaharibu uchunguzi,ila kwa mwenye kung'amua atajua wahusika.
 
Nafikiri ni suala la kuchambua na kujua mlengwa hasa ni nani. Fanya hivi chukua orodha ya mawaziri wote halafu angalia vigezo ni nani aliingia wakati wa mabadiliko ya hivi karibuni. Baada ya hapo angalia criteria nyingine na mwisho utabakiwa na sample ya waili ama watatu
 
Upuuzi jina la waziri linahifashiwa mara jina la mfanyabiashara linahifashiwa,sijui kwa faida ya nani story za kutunga hizi.

Yaani stori ya kutunga kuwa hakuna Majangili ndani ya ccm au.?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Ngoja tusubiri labda wiki ijayo wanaweza kuamua kushuka na more details ambazo zitazidi kumuweka wazi muhusika.

Magazeti ya Tanzania shida tupu, habari wanawasilisha kama vitendawili.

Sasa hapa sijui wamewasilisha nini.!!
 
Nafikiri ni suala la kuchambua na kujua mlengwa hasa ni nani. Fanya hivi chukua orodha ya mawaziri wote halafu angalia vigezo ni nani aliingia wakati wa mabadiliko ya hivi karibuni. Baada ya hapo angalia criteria nyingine na mwisho utabakiwa na sample ya waili ama watatu
Naona na WanaJF tunaendeleza uzembe uleule wa Raia Mwema, kwa nini wasitajwe hao mawaziri wageni halafu wapigiwe kura.?

1.Juma Nkamia
2.Mwigulu Mchemba
3....
4....
Wadau endeleeni kutaja wengine mwisho atafahamika tu
 
...Vinginevyo anaweza kuwabeba na kwenda nao Mabwepande kuwanyofoa kucha bila ganzi, kuwapofua macho kabla hajawamaliza kabisa. Kitu kidogo lakini kinene ili waipotezee hii habari.

Nahisi Raia Mwema wanataka kitu kidogo kwa huyo Waziri jangili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom