Ni haki kupenda!?

Si unakuta kazi aliyotakiwa kufanya ameshakamilisha!!Kama aliolewa ili azae kashazaaa...kama mwanamke nae aliolewa kwaajili ya vijicenti kashachota size yake!!
Kwa hiyo sasa inawezekana kupisha wengine kwa zamu yao...? Lakini kwani kushare pipi isiyoisha kuna tatizo gani? Tena kila mmoja akishamung'unya huoshwa kabla haijatumika na mwingine...!
 
Ha ha..Lizzy bwana, you're funny!..baadhi ya watu wako strategically siku hizi!!..so hard to tell kama unapendwa kumbe inapendwa EU/US passport:))

Hahhhha...
BJ yani siku hizi mapenzi ni zaidi ya biashara!Mtu anakwambia nakupenda beibe kumbe nyuma ya maneno anafikiria lemme play nice and win this game...mapesa..uraia...nyumba na maisha mazuri all mine!!!
 
Kwa hiyo sasa inawezekana kupisha wengine kwa zamu yao...? Lakini kwani kushare pipi isiyoisha kuna tatizo gani? Tena kila mmoja akishamung'unya huoshwa kabla haijatumika na mwingine...!

Khaaa!Huko ni kwingine....swala hapa ni mapenzi na sio matananio ya kimwili!!!
Tuendelee sasa.....
 
Kama huyaoni je?
Maana kuna watu tafuna ya mwenzie haipendi...anavyokula mkate wake hapendi....anavyolala hapendi...tembea yake hapendi....anavyotazama hapendi...anavyoshika remote hapendi....imba yake hapendi....oga yake hapendi...vaa yake ndo kabisa hata avae nini hapendi....ongea yake hapendi...masikio yake hapendi....

Ni kweli Lizzy but in reality unawezaishi na mtu kindoa halafu akawa hana jema hata moja??
Hata hayo uliyoyasema yanarekebishika ukiamua (Isipokuwa yale ya maumbile) But kama hupendi avaavyo, mvishe utakavyo wewe, kama hupendi anavyokula,tembea,shika remote, ongea ...........mrekebishe kwa kumweleza (Kama kuna elezeka lakini).
 
Sababu kubwa inatakiwa kuwepo ni upendo wa dhati.
Binafsi siwezi kuolewa na mtu kwa sababu ya kitu fulani..
Wewe huwezi sawa... Ila kuna watu wengi tuu wameolewa kwasababu fulanifulani, ni lazima ukubaliane nami katika hilo BelindaJacob...

Tatizo ni moja tu, unaweza kumpenda mtu ila hujui kama yeye amekupenda vile vile?!

Okey na ukigundua hakupendi kama unavyompenda na tayari mko ndani ya ndoa... Mna watoto wanaohitaji malezi ya baba na mama!.. 'll u abandon them??
 
Mh!.. Uwehi kuona imetokea sehemu yoyote au kwa mtu yoyote... As far as i know love is a natural thing it can't be lent!

Avatar I keep on saying if you are determined ....its possible. Try to find out ni nini kinachokufanya usimpende kisha anza kudeal nacho.......haiwezekani kukawa hakuna kabisa chembe ya penzi ama sivyo hata kama ingekuwa ni kwa pesa zake, kulazimishwa na wazazi au sababu yoyote ile wala usingekuwa naye!!
 
Ni kweli Lizzy but in reality unawezaishi na mtu kindoa halafu akawa hana jema hata moja??
Hata hayo uliyoyasema yanarekebishika ukiamua (Isipokuwa yale ya maumbile) But kama hupendi avaavyo, mvishe utakavyo wewe, kama hupendi anavyokula,tembea,shika remote, ongea ...........mrekebishe kwa kumweleza (Kama kuna elezeka lakini).

Wapo aisee...na hawawezi kufikiria kumrekebisha au kumsaidia ajirwkebishe kwasababu hawajali.Hujawahi kusikia mtu anamwambia mwenzie “sijui hata nilikupendea nini“ au “you were never good enough for me“!?Yapo sana haya...ni vile tu hujashuhudia!
 
Ha ha..Lizzy bwana, you're funny!..baadhi ya watu wako strategically siku hizi!!..so hard to tell kama unapendwa kumbe inapendwa EU/US passport:))

hehehe nimeshuhudia kwa macho yangu kijana mwanaume wa miaka 25 ameowa kazee ka miaka 68, halaf sio kazee tu bali kamefanana na Remmy. Dah! Asifiwe mungu kwa kuumba weusi na weupe
 
Ndoa mbaya nazo hua zinawaathiri sana watoto...unaweza ukadhani kwa wewe kubaki ndo unawasaidia kumbe ndo kwanza unaharibu kila kitu.
.................Unless kuna physical, verbal or psychological abuse. Lakini kama hakuna na wahusika wanajitahidi kutoonyeshana basi watoto ni bora wakalelewa na baba na mama. Na pia ikumbukwe kuwa panapokuwa na ndoa ya aina hii mara chache sana utakuta wanandoa wote wawili hawana love to each other......mara nyingi huwa ni mmoja na mwingine huwa anampenda mwenzie.......na kwa wastaarabu hawawaambii wenzi wao kuwa hawawapendi kihivyo.utakuta tu anakaa nalo moyoni na likizidi anatafuta ushauri nje ........kama huyu avatar
 
Utaendelea kuteseka katika ndoa kisa watoto mpaka lini
wengine wanafanya wanavyotaka wakijua huwezi ondoka kwa ajili ya watoto
hakuna upendo umekuwa kiwanda cha kuzalisha watoto


kweli, " kivuli hakina rangi"
 
Wapo aisee...na hawawezi kufikiria kumrekebisha au kumsaidia ajirwkebishe kwasababu hawajali.Hujawahi kusikia mtu anamwambia mwenzie "sijui hata nilikupendea nini" au "you were never good enough for me"!?Yapo sana haya...ni vile tu hujashuhudia!

Aksante kwa kunijuza maana nisingeelewa kabisa duh!

Kwa hayo maneno hapo chini nilishawahiambiwa mie wala sihitaji ushuhuda wa mtu mwingine ................. cpatikuelezea inaumaje mtu wako wa karibu namna hiyo awe anakwambia maneno hayo!.............halafu leo anageuka eti nisamehe cweziishi bila wewe!! Mxiii!! Panasonic mkubwa!!!
 
Sababu kubwa inatakiwa kuwepo ni upendo wa dhati.
Binafsi siwezi kuolewa na mtu kwa sababu ya kitu fulani..Najiamini na siku nikila hicho kiapo najua ni for real!..Tatizo ni moja tu, unaweza kumpenda mtu ila hujui kama yeye amekupenda vile vile?!
Hata hivyo kutoka nje ya ndoa si suluhisho bali ni unafiki. kwanini usiachane na mtu ukaenda kwa ulimzimikia ki ukweli!!..


BJ nani kakwambia kuwa mwanaume akitoka nje ya ndoa,
basi anakuwa hampendi mkewe?
Kutoka nje ya ndoa sio justification kuwa huyo wa nje ndo umempenda!!!!
Bye!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom