Ni haki kupenda!?

Ni haki kupenda!?

Nimekuelewa Asha D, sasa kwa mtazamo wako ni haki kupenda?

Personally naona ni haki, baada ya kutafakari hatua gani utachukua ndo issue but naona
ni bora kupotezea na kukaa na huyo mtu mbali - mbona wengi tu wana watu wanawapenda
but married kwa wasiowapenda na siku zinaenda, anpata chakula cha moyo na
mwili kasoro roho.... sio mbaya kustahimili...
 
Hii mada ni ngumu kwa kweli
But avatar unawezajifunza kumpenda huyo uliyemwoa "out of Love'
 
Unajua Avatar mi sioni tabu hapo katika kupenda,
ni haki ya kila mmoja kupenda, ila sasa unampenda nani?
hilo ndo la kujiuliza.

Huu uzi wako unanikumbusha issue moja hapo zamani,
kuna bwana mmoja aliwahi kuhoji kuwa hivi kupenda kuna fadhila kweli?
Yaani inatokea kuwa wawili wapendanao katika safari yao ya mapenzi,
mmoja anakuja kujitoa, lakini katika hiyo safari yao huyo aliejitoa alikuwa,
kwa namna moja amesaidiwa sana katika kuendelezwa kimaisha,
labda amesaidiwa sana kifedha, kielimu n.k.
sasa mwisho wa siku anajitoa na kujikuta anapendana na mtu mwingine,

Na muda mchache tu baada ya kufahamiana wanajikuta wanafunga na ndoa kabisa.
Sasa ndo linakuja swali hapo, kwani mapenzi/kupenda kunaendana na fadhila?
[I]''Eti kwakuwa tulivyokuwa mapenzini nilikusaidia a, b, c, na d,[/I]
sasa mbona huna hata fadhila, yaani umeniacha na kwenda kumuoa/kuolewa,
na mtu mwingine...lol....''

Asanteni wapendwa!!!!!mbarikiwe nyote...

so ile v8 uloniletea jana yaitajilka kukupenda back?
ahh km vp lile gorofa ulilonipa kule mbez mi silitak tenaaaaaaa

na ile akaunt ya dola siitak tena kad yako utaikuta kwa maiko....

siweaz kurudisha /kulipa fadhila za vitu kwa HISIA ZA MOYO...

KM we tajiri umensaidia poa nsaidie usepe mi akija ninayempenda ata km kapuku fesh tu mintaandamana naye na ntakuacha kona na mahela ako......

na i :mimba:yako sjui nikaiache wap cz stak kuondoka na kilicho chako:dance:

[/COLOR][/SIZE]

Hahahahaa...
 
Si haki kumpenda mwingine kwa sababu sasa utakuwa na wawili. Na kama unavyofahamu penzi haligawanyiki, hivyo huyu wa pili atachukua nafasi yote. Sasa huoni kuwa ni afadhali mwachane kuliko kuzini nje ya ndoa kwa sababu eti yule wa ndoa humpendi, kama humpendi unakaa naye wa nini? Labda iwe kwamba unakaa naye kiuchumi zadi, kama ni kiuchumi utakuwa humtendei vema kwa sababu atakuwa ankata fungu halafu wewe unaenda kujinjari na Small House.
 
apochachaaa!!!!!
yaan ukae na limtu alikupend waz waz kisa ndoa aivunjik?
mtu anarud sa 8 daily
mtu hakup haki ya usiku januar to desemba anakufanya we dadake
mtu hatunzi family ata sh 10 yake uijui
mtu anakudharau mbele za watu
mtu anaku.....ongezea wewe
then unambie ndoa aivunjiki?whch one? kwa mising ya ndoa i sio ndoa ata kidogo so u better quit ..unless othwise AUJAJUA BADO WHAT IT TAKES FOR NDOA KUITWA NDOA..

nawasilisha ..uku nimenuna:tonguez:.

Hah Rose umenifurahisha sana mydia......wawasilisha huku umenuna.

Well ni kweli kwa ulichokiwasilisha hapa but Rose baby you know better sweetheart! Hii action inawezachukuliwa na wanawake wanaojimudu kimaisha, tukumbuke kuwa kuna wanawake wengi ambao ni tegemezi kwa asilimia 100 kwa waume zao.....hapo ana watoto ambao akiondoka itabidi awaache kwa mumewe au akiwachukua akubali kuteseka nao..nafikiri kwa hawa na wengine mara nyingi kuvumilia ndio option yao pekee.
 
WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?

Hii ni tamaa..kwanini usimuache huyo ambae hukumpenda na ukawa na huyo umpendaye for good??!
Huwa siaminigi watu wanaoana tu kwa maonyesho, there must be love between people mpaka mtu anaji-commit for the rest of his/her life!!
 
unaishi vipi na mtu usiyempenda
kama ulioa/olewa kwa sababu ya wazazi, mali, nk umeshapata ulichohitaji na wazazi wameridhika
toeni talaka kila mmoja akafaidi upendo kwa anayempenda kuliko kuendelea
kudanganyana

Blaki Womani, kuna sababu nyingi sana zinazofanya ndoa isisambaratike hata kama wanandoa wenyewe hawapendani!..
 
[/COLOR][/SIZE]

so ile v8 uloniletea jana yaitajilka kukupenda back?
ahh km vp lile gorofa ulilonipa kule mbez mi silitak tenaaaaaaa

na ile akaunt ya dola siitak tena kad yako utaikuta kwa maiko....

siweaz kurudisha /kulipa fadhila za vitu kwa HISIA ZA MOYO...

KM we tajiri umensaidia poa nsaidie usepe mi akija ninayempenda ata km kapuku fesh tu mintaandamana naye na ntakuacha kona na mahela ako......

na i :mimba:yako sjui nikaiache wap cz stak kuondoka na kilicho chako:dance:

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Rose we chiz wallah nimecheka hadi nimelia
eti mimba yako nikaiache wapi duh!!
 
Hah Rose umenifurahisha sana mydia......wawasilisha huku umenuna.

Well ni kweli kwa ulichokiwasilisha hapa but Rose baby you know better sweetheart! Hii action inawezachukuliwa na wanawake wanaojimudu kimaisha, tukumbuke kuwa kuna wanawake wengi ambao ni tegemezi kwa asilimia 100 kwa waume zao.....hapo ana watoto ambao akiondoka itabidi awaache kwa mumewe au akiwachukua akubali kuteseka nao..nafikiri kwa hawa na wengine mara nyingi kuvumilia ndio option yao pekee.

Hiii ya utegemezi ni nzito kwakweli...wanawake wengi wanakubali kunyanyaswa na kunyanyasika kwa hili!!Inabidi tujitahidini sana wanawake kujikomboa...uwe na kitu chako ili leo na kesho yakikushinda unabeba wanao unaanza mbele.Tumbo kujaa na kulala kitandani bado kunaweza kumfanya mtu akondeane kama hana furaha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom