Ni haki kupenda!?

Aksante kwa kunijuza maana nisingeelewa kabisa duh!

Kwa hayo maneno hapo chini nilishawahiambiwa mie wala sihitaji ushuhuda wa mtu mwingine ................. cpatikuelezea inaumaje mtu wako wa karibu namna hiyo awe anakwambia maneno hayo!.............halafu leo anageuka eti nisamehe cweziishi bila wewe!! Mxiii!! Panasonic mkubwa!!!
Hahhahah...panasonic yenyewe ya mchina!ahusiano yana mambo jamani...
 
Aksante kwa kunijuza maana nisingeelewa kabisa duh!

Kwa hayo maneno hapo chini nilishawahiambiwa mie wala sihitaji ushuhuda wa mtu mwingine ................. cpatikuelezea inaumaje mtu wako wa karibu namna hiyo awe anakwambia maneno hayo!.............halafu leo anageuka eti nisamehe cweziishi bila wewe!! Mxiii!! Panasonic mkubwa!!!

mmmh!MJ1,
Kumbe kutukana ruksa mara moja moja eeh?
 
Tunarudi kulekule kuolewa au kuoa sababu tu ya huruma, au eti wife material haya unakuwa na materials mashine ya uzalishaji huna sijui unafanyaje na unfinished goods zako
 
Hivi mpaka unafanya maamuzi ya kuoa kuolewa ulikuwa unawaza nini?
kwani ulilazimishwa ..sio haki kuwa na mpenzi nje ya ndoa maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge
Kama umeamua kuingia kwenye ndoa inabidi ufate sheria za ndoa mme mmoja /mke mmoja
Kama wewe Mwisilam kwa mwanaume oa kwa mwanamke kuwa mvumilivu ama omba talaka na umweleze mwenzio kuwa uliolewa nae pasipo kumpenda .
Sasa hapa sijui ndo utaanza kutafuta mpenzi unayempenda ...!!?:mod:
 
Labda yale mambo ya kizamani katafutiwa akaona asiwaangushe wazazi, au waonaje FL
 
Labda yale mambo ya kizamani katafutiwa akaona asiwaangushe wazazi, au waonaje FL

:biggrin1:Gaga huu mtihani maana unaweza kuwa na uhusiano nje mara mhusika nae anatangaza ndoa au anahamia mbali na kuanza maisha mengine
sijui utatafuta mwingine tena , La ndoa ivunjwe swirry cause mambo ya cheating yanaumiza sana pale mmoja atakapogunda anaibiwa ,ndo maana watu wanachomana visu ,wanapigana shaba kama Afisa Mipango pale Dom haya yote ni mapenzi ya wizi..
 
Kama huyaoni je?
Maana kuna watu tafuna ya mwenzie haipendi...anavyokula mkate wake hapendi....anavyolala hapendi...tembea yake hapendi....anavyotazama hapendi...anavyoshika remote hapendi....imba yake hapendi....oga yake hapendi...vaa yake ndo kabisa hata avae nini hapendi....ongea yake hapendi...masikio yake hapendi....

duu ilikuwaje mpaka wakaoana kama hapendi kila kitu chake
 
Oh, no!.. Blaki Womani, uko tayari kuwaabandon ya kids because of 'love'??.. tell me ur kidding!..

Avatar
siwezi kuwaabandon watoto wangu kwa mtu ambaye hakuwai kuwa na mapendo kwangu
wengine wanaona watashindwa kulea watoto pindi wanapotalikiana hakuna kitu ni kujiamini
na kuwa na mikakati na mipangilio ya maisha. watoto wangu wataambatana nami popote nitakapo kwenda

Hivi hebu tufikirie na upande wa pili...............wewe umeolewa/umeoa mtu ambaye unampeeeenda sana lakini yeye hakupendi na unalijua kabisa kuwa hakupendi labda kakubali kukuoa/olewa kwa kuwa kulikuwa na shinikizo flani. ......... hakuabuse wala kukukaraisha ila tu hana raha na wewe. Utafanya nini?
 
Aisee hapo dalili za mtu kuwa na mpango wa kando ni kubwa sana
 
Rose1980, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
E.g.
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc

7. Siku hizi kuna sababu ambayo ni nzito zaidi. Wenyewe wanasema KUONDOA MKOSI: Hii ipo kwa akina dada.
 
FL1 kuna mada nikiziangalia huwa zinanipa wakati mgumu sana kusema lolote, mioyo yetu huwa inabeba siri nzito sana na wakati mwingine huwa ni ngumu hata kuzisema what if kama unampenda sana,halafu yeye anapenda kwingine utajuaje?mambo mengine ni kuyaacha yalivo as far as ananiheshimu na kutimiza wajibu wake naamini napendwa hata kama sivo ndivo.

Changia tu mama toka moyoni mwako
 
Probably, the question here could be if una haki ya kuachana na mtu uliyemwoa/uliyeolewa naye.

Majibu ya swali hili yangekupa majibu ya swali lako!
 
Back
Top Bottom