Ni haki kupenda!?

Ni haki kupenda!?

Rose1980, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
E.g.
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc

Kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo.. Mtu aliyeoa kutokana na sababu above ana haki ya kupenda?

heheeh hii sredi nzima nimeona hapo red tu. :tape:

If you want to................!! Concentrate kwenye mazuri yake tu

Kama huyaoni je?
Maana kuna watu tafuna ya mwenzie haipendi...anavyokula mkate wake hapendi....anavyolala hapendi...tembea yake hapendi....anavyotazama hapendi...anavyoshika remote hapendi....imba yake hapendi....oga yake hapendi...vaa yake ndo kabisa hata avae nini hapendi....ongea yake hapendi...masikio yake hapendi....

Zimeunganishwa na watoto!..

Utaendelea kuteseka katika ndoa kisa watoto mpaka lini
wengine wanafanya wanavyotaka wakijua huwezi ondoka kwa ajili ya watoto
hakuna upendo umekuwa kiwanda cha kuzalisha watoto

WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?
Love is not a Crime...!

WanaJF habari zenu!...

Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..

Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?

Cjaelewa unaongea nin.inamana ukiwa "NDANI YA NDOA YA WACHUKIANAO'' unahaki ya kutafuta mwingine au unamaanisha nini?

Kama huyaoni je?
Maana kuna watu tafuna ya mwenzie haipendi...anavyokula mkate wake hapendi....anavyolala hapendi...tembea yake hapendi....anavyotazama hapendi...anavyoshika remote hapendi....imba yake hapendi....oga yake hapendi...vaa yake ndo kabisa hata avae nini hapendi....ongea yake hapendi...masikio yake hapendi....
Hahahaha....! Sasa amebakiza kupenda nini mamy? Haya ni matokeo ya Hit & Run....!

Utaendelea kuteseka katika ndoa kisa watoto mpaka lini
wengine wanafanya wanavyotaka wakijua huwezi ondoka kwa ajili ya watoto
hakuna upendo umekuwa kiwanda cha kuzalisha watoto

Oh, no!.. Blaki Womani, uko tayari kuwaabandon ya kids because of 'love'??.. tell me ur kidding!..

Hili ni Janga kuzidi Janga la Njaa na lile la mgawo wa umeme. Yaani umeoa halafu huyo mtu haumpendi dah hizi sinema za kihindi hizi ngoja niendelee ku-digest hapa

Cjaelewa unaongea nin.inamana ukiwa "NDANI YA NDOA YA WACHUKIANAO'' unahaki ya kutafuta mwingine au unamaanisha nini?
Yeah, something like that... But ukisema 'Ndani ya ndoa ya wasiopendana sio wanaochukiana' utakua more right!..

Mh!.. Kwann huamini? Kuna sababu nyingi sana za mtu kuoa mtu fulani au kuolewa na mtu fulani!..

Sababu kubwa inatakiwa kuwepo ni upendo wa dhati.
Binafsi siwezi kuolewa na mtu kwa sababu ya kitu fulani..Najiamini na siku nikila hicho kiapo najua ni for real!..Tatizo ni moja tu, unaweza kumpenda mtu ila hujui kama yeye amekupenda vile vile?!
Hata hivyo kutoka nje ya ndoa si suluhisho bali ni unafiki. kwanini usiachane na mtu ukaenda kwa ulimzimikia ki ukweli!!..

Hili ni Janga kuzidi Janga la Njaa na lile la mgawo wa umeme. Yaani umeoa halafu huyo mtu haumpendi dah hizi sinema za kihindi hizi ngoja niendelee ku-digest hapa

Unadhani haiwezekani!??.

Hahahaha....! Sasa amebakiza kupenda nini mamy? Haya ni matokeo ya Hit & Run....!
Si unakuta kazi aliyotakiwa kufanya ameshakamilisha!!Kama aliolewa ili azae kashazaaa...kama mwanamke nae aliolewa kwaajili ya vijicenti kashachota size yake!!

Kwasababu we ni mhanga wa hili....hivi si umeshapata umuache?!

Ha ha..Lizzy bwana, you're funny!..baadhi ya watu wako strategically siku hizi!!..so hard to tell kama unapendwa kumbe inapendwa EU/US passport🙂)

Oh, no!.. Blaki Womani, uko tayari kuwaabandon ya kids because of 'love'??.. tell me ur kidding!..

Ndoa mbaya nazo hua zinawaathiri sana watoto...unaweza ukadhani kwa wewe kubaki ndo unawasaidia kumbe ndo kwanza unaharibu kila kitu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom