Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Tutakapostaarabika na kuanza kufuata sheria mambo yote yatarekebika. Taratibu haziwezi kuwa juu ya sheria. Watu wataacha kusali barabarani kwanza hawasali yanajishoo tu, watakapoacha kuuza bidhaa zao barabarani watakapoacha kutanua nk. Sasa hivi katika ujenzi mpya wa barabara wamezuia uwezekano wote wa kutanua kwa kujenga vizingiti katika njia za watembea kwa miguu. Hata ninyi tutatafuta utaratibu utakao wazuia tena kwa vitendo tabia za kusali/ kula wali barabarani

Kula wali tena? Hayo mengine. Kama wali ukiliwa pia barabara zinafungwa basi hapo patakuwa Na sadaka, so nawewe ni kujiunga tu ukapata sadaka
 
Tandika,mtongani,buguruni.hawa jamaa ni shida,huwezi sikia upanga wamefunga mtaa.huku kuna wajinga wengi sana.sijui tabia hii chafu ya vigodoro,mihadhara ndani ya barabara ambazo tumechangia kodi wote itaisha lini.
 
Hili jambo lilikuwa linanikera muda mrefu sana hasa maeneo ya kariakoo, barabara ni mali ya umma wote sio Dini Fulani,,,
 
Hapa mnawasema waislam tu sema mnawaficha ficha
Hawa jamaa hawapendi kuambiwa ukweli
 
Pita mitaa ya kko siku za mwisho wa week kama jana..
Ndugu yangu kama ni Ijumaa wala usibishe kwani ni siku yakumuomba MUNGU wao
Hapa Dodoma kuna Misikiti miwili huwa wanafunga kuanzia saa 6 mchana hadi saa 7 na nilishapita Kariakoo viyo hivyo
Hata wewe kama una Sherehe au Msiba na unakaa katikati ya Mji unaiarifu Mamlaka ihusikayo watakuruhusu
Km niko nje ya Mada Sorry
 
Wameweka turubai na kuziba barabara wakati waliokaa kwenye mikeka ndani ya turubai watu watatu tu.
Kwa kuitaja mikeka hadi hapo nimeshajua ni watu gani. Unaweza ukakuta wanasubiri pilau iive. Acheni ushamba wakaaji wa kwenye mikeka, barabara ni kwa ajili ya matumizi ya umma
 
Hizo ni chuki mbona nyie mnapiga makelele na kuvamia hata viwanja vya biashara mfano tanga kuna kiwanja kinaitwa tangamano kunakuaga na soko kila week end ila mkijaga watu kama nyinyi mnawanyima kufanya biashara watu hawakerekwi kwa sababu tunajua mnamuomba mungu so kama unoana wivu nawe funga bara bara hiyo nyumba ya mzew mwaduga unayokaa kama hukutimuliwa na kodi yako isirudishwe
 
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Andamana Tukuchapeni kidogo. Manake muda mrefu zijachapa mgalatia!
Nakata nafunua, mpaka mashuzi ya kiti moto yatoke.

Nyie yale makelele yenu mnayopiga ya "Anamelemeetaaa"
Kwenye zile ndoa za adam and steve na kutembea na punda brbrn na kutuwekea Foleni kila weekend tukienda kwenye matanuzi yetu umeskia Tumelalamika.?

Hivi kwanini nyie wagalatia mnakuwa na Tabia Za kike japo Mna kolomelo km bastola?
 
Histohisia za wazee wa dar na gerezani chini ya mohamed said zimekufunga akili.

Mtoto wa zinaa bila kukashifu wazee siku haijapita.
We huna habari bila hawa wazee nyie waha wala msinge kanyaga Dar?

Mtoto kikojozi kweli wewe.
 
hongera yako wewe mwenye uelewa mkubwa wa kutoka msikitini na kwenda kufunga barabara ukasali eti ukategemea utaiona pepo kwa kuziba kwako njia!!

Dar ina wenyewe.
Wagalatia rudini msumbiji.
 
...sasa kwakuwa Kanisa halifanyi basi na wengine wasifanye !?............. Wagalatia mna nongwa sana !

Ijumaa ni siku ya jamaa, siku ya pamoja, siku ya kuonyesha umoja wa Waislaam, siku ya kukutana Waislaam wa sehemu mbali mbali mahali pamoja !

View attachment 252210

Where can you get this kind of gathering ! ....tena hawa wamekusanyika bila ya ushawishi wa 'viwete watatembea na vipofu wataona' ! Kimbley

Teh teh teh.
Gwajima juu ya kudanganya watu kuwa anafufua wafu lkn idadi ya wafuasi wake haijafika hata ya mitaa kadhaa ya Hapo Kariakoo.

Sasa wakiona WAISLAMU wamejaa mitaani roho zinawauma sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Ukisikia kuvumiliana ndo huku kaka!!
 
Kwa kuitaja mikeka hadi hapo nimeshajua ni watu gani. Unaweza ukakuta wanasubiri pilau iive. Acheni ushamba wakaaji wa kwenye mikeka, barabara ni kwa ajili ya matumizi ya umma

1431808129969.jpg1431808129969.jpghaya ndio ya kufuatilia,sio mambo madogo madogo,kama kufunga barabara
 

Attachments

  • 1431808093758.jpg
    1431808093758.jpg
    58.5 KB · Views: 104
Back
Top Bottom