Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Kufungwa mitaa kwa ibada kunafanyika duniani kote, kwa sababu? Jionee:

images

Hiyo ni Uingereza, si mtaa, ni mitaa inafungwa kwa ibada ya Waislam.

FRANCIS DA DON

Ukibisha, nnakuletea nyingine ya nchi nyingine.
 
Teh teh teh.
I can see here that you never waste any minute to reply my Comments miss pastor.

Uwezekano wa Wewe kuwa Muislamu ni 0.00000001%.
wewe kuwa Buddha ni 0.0002% na wewe kuwa ni mgalatia nakupa 98%
.
Unapokuja kujadili hapa utambue kuna watu wana fani tofauti za elimu.
We huna haja ya kujitaja kuwa Ni Mkristo ili mi nitambue imani yako.

Roho korosho na Chuki zimewajaa wagalatia kila mkiona Miskiti inajaa waumini mpaka Nje.

Na bado, Mtaumia roho mpaka siku ya Kufa kwenu.
UISLAMU unaendelea Kukua kwa kasi ya Ajabu sana Duniani Kote
.
Endelea kudhihirisha u.pumbavu wako kwa kuandika vitu visivyo na kichwa.
Endeleza tofauti zako za kiimani lakini tambua tu kuwa hazikufikishi popote, imani hizi tumeletewa na mzungu na mwarabu ili kutugawanya...wewe unayavalia msuli kwa kushinda mitaani kubishana....pole
0.00000001% + 98% + 0.0002% = 100%....that sums up everything pal.
 
Kufungwa mitaa kwa ibada kunafanyika duniani kote, kwa sababu? Jionee:

images

Hiyo ni Uingereza, si mtaa, ni mitaa inafungwa kwa ibada ya Waislam.

Ukibisha, nnakuletea nyingine ya nchi nyingine.
Baada ya ibada hii nini kinatokea????
 
Kufungwa mitaa kwa ibada kunafanyika duniani kote, kwa sababu? Jionee:

images

Hiyo ni Uingereza, si mtaa, ni mitaa inafungwa kwa ibada ya Waislam.

Ukibisha, nnakuletea nyingine ya nchi nyingine.
Kimbley ! .........hiyo ni UK kwa Bibi !.......lazima utafute panadol !
 
Last edited by a moderator:
Kampuni binafsi inayomilikiwa na wanahisa maana yake nini..?!
kampuni binafsi inamilikiwa na wana hisa? embu nitajie moja, mimi nafahamu kuna public company na private company, hii public ndo huwa inauza hisa zake lakini private huwa ialist share zake kwenye soko la hisa
 
Tandika,mtongani,buguruni.hawa jamaa ni shida,huwezi sikia upanga wamefunga mtaa.huku kuna wajinga wengi sana.sijui tabia hii chafu ya vigodoro,mihadhara ndani ya barabara ambazo tumechangia kodi wote itaisha lini.

Tatizo lako huelewi kuwa Salat zinaheshimiwa dunia nzima, na ulinzi wanapewa:

File - Russian police officers guard as Muslims pray outside the central mosque for Friday prayers​
 
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Vp wakristo wanaotumia majengo ya umma (shule-hospitali n.k) kufanyia ibada.
 
kampuni binafsi inamilikiwa na wana hisa? embu nitajie moja, mimi nafahamu kuna public company na private company, hii public ndo huwa inauza hisa zake lakini private huwa ialist share zake kwenye soko la hisa
Facebook inauza hisa? yes/no? , then ile ni ya serikali/umma au binafsi?
 
Tatizo lako huelewi kuwa Salat zinaheshimiwa dunia nzima, na ulinzi wanapewa:

File - Russian police officers guard as Muslims pray outside the central mosque for Friday prayers​

Nadhani wanalindwa wasifanye fujo baada ya 'friday prayers'
 
Nkwesa Makambo

Mkuu kuna siku nusura tupoteze mama na mtoto!mjamzito ameshikwa na uchungu wa ghafla!kufika njiani barabara imefungwa!!aargh!!mi sikubaliani na hili swala banah!!

Makanisa yalivyokuwa mengi nchini hapa wakisema watoke na wao wakasalie barabarani hali itakuwaje??tutapata hata sehemu ya kupita kweli??ni nini maana ya kujenga nyumba za ibada?

Mbona viwanja vya shule na mipira vipo jamani!?katika hili suala watu tumegawanyika!!

Haujazuiwa kufunga barabara funga ukitaka ila kuwe na sababu kwani kanisa lako lipo barabarani au uchochoroni??
 
Endelea kudhihirisha u.pumbavu wako kwa kuandika vitu visivyo na kichwa.
Endeleza tofauti zako za kiimani lakini tambua tu kuwa hazikufikishi popote, imani hizi tumeletewa na mzungu na mwarabu ili kutugawanya...wewe unayavalia msuli kwa kushinda mitaani kubishana....pole
0.00000001% + 98% + 0.0002% = 100%....that sums up everything pal.
[/QUOTE

wewe mwehu kama zimeletwa na mzungu au mwarabu mbona wewe una fuata anzisha yako basi wewe mbululaa
 
Na tutaendelea kufunga barabara kwa sababu misikkiti ni michache na waumini ni wengi.
Nyinyi mpo wachache makanisa kila kona
 
Back
Top Bottom