Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Huku ilala leo nusu Nipige watu yaani wamefunga kona zote nne nilikuwa na gari kubwa nimepasua katikati.
 
Huku ilala leo nusu Nipige watu yaani wamefunga kona zote nne nilikuwa na gari kubwa nimepasua katikati.

Inakera sana! Watu wana uelewa mdogo sana!! Ni ujinga uliopitiliza kuzuia watu wengine washindwe kutumia barabara kwa manufaa yako binafsi!

Nachukia sana watu wabinafsi wasiojali wenzao.
 
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Kunyenyekea.JPG

Hatutoshi kwenye Nyumba !

Sala- Italy Ctdrh.JPG

Hapo ni Italy, mbele ya Kanisa !

Sala- Israel.JPG

Wayahudi wametuzuia kuingia Msikitini, Al Ag'sa (Qud's)

Sala- Boat 1.JPG

Hapo ni Juu ya Meli !

Sala-China.JPG

Hapo ni China, barabarani ! :becky:

Sala-Wafungwa.JPG

Hawa ni Wafungwa, Sala ya Ijumaa !

Sala-Korea 1.PNG

Wanajeshi wa Korea, wako katika Majukumu ya kijeshi.

Sala- Eid Senegal.JPG

Eid Holiday - Senegal !

Sala-Makkah.JPG

Hata huu msikiti wa Makka huwa hautoshi ! :becky:
 
Attachments

  • Sala-Korea Soldiers.JPG
    Sala-Korea Soldiers.JPG
    36.3 KB · Views: 144
jaim uko vizuri kichwani, mtoa mada aeleze anachotaka kusema, wanakurupuka hawajui kuna katiba sheria taratibu na mazoea ktk kuendesha nchi
 
Inakera sana! Watu wana uelewa mdogo sana!! Ni ujinga uliopitiliza kuzuia watu wengine washindwe kutumia barabara kwa manufaa yako binafsi!

Nachukia sana watu wabinafsi wasiojali wenzao.
Kimbley

'Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye, na humkunjia kwa kipimo. Na (Makafiri) wamefurahia maisha ya Dunia. Uhai wa Dunia kulingana na Akhera si kitu ila ni starehe ndogo tu.

Qur'an: 13:26.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli ufungaji holela wa barabara unaudhi

Regardless waliofunga ni dini gani au shughuli gani.... angalau kitu kama msiba ni cha ghafla....

Lakini shughuli za kidini hapana inaudhi....... kusali/kuswali kwako kusiwe kero kwa wengine...na wala shughuli zako za kidini zisiwe kero kwa wengine

Hapa pia kuna wale wanaopiga mahubiri usiku kucha..... mispika mikubwa sauti za juu...walaah... sasa usiombee sauti za mahubiri + kufunga barabara

Sala-Barafu.JPG

Porini katika msitu wa barafu !
 
Attachments

  • Salaa Salaa !.JPG
    Salaa Salaa !.JPG
    29.7 KB · Views: 155
Kimbley

'Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye, na humkunjia kwa kipimo. Na (Makafiri) wamefurahia maisha ya Dunia. Uhai wa Dunia kulingana na Akhera si kitu ila ni starehe ndogo tu.

Qur'an: 13:26.

Hii aya unayoitumia haiusiani na mada husika!swala la kufunga barabara bila udhuru wa maana ni ubinafsi!!

Nataka uniambie ni Aya gani ya Quran imeruhusu watu wafunge barabara?
 
Last edited by a moderator:
Duh, tunakoenda sasa siko kwanini tusilalamike barabara inapofungwa kwa
Msafara wa kiongozi fulani Tena unakuta hata saa moja kabla watu hawaruhusiwi
kwanini hukulalamika siku aliyokuja Obama jinsi tulivyonyanyaswa ndani ya nchi yetu
hizo chuki hazina maana.

...........utawaweza Wagalatia kwa nongwa ! :A S-rap:
 
Hii aya unayoitumia haiusiani na mada husika!swala la kufunga barabara bila udhuru wa maana ni ubinafsi!!

Nataka uniambie ni Aya gani ya Quran imeruhusu watu wafunge barabara?

..........uhai wa Dunia kulingana na Akhera si kitu ila ni starehe ndogo tu ! (Qur'an: 13:26)

Uhai wa Dunia (pumzi) unakudanganya, unajiona wa maana !......watu ambao wametenga muda wao kuomba na kushukuru unaona wanakughasi na hawana maana.

View attachment 252205

Hapo ni Italia, barabarani na mbele ya Kanisa !
 
Hii Quran Wengi mnaiquote vibaya!!kwa hiyo ni haki wewe kufunga barabara na kuzuia waislamu wenzio wasipite kisa tu unaipenda akhera kuliko dunia?mbona hata hiyo Aya haiusiani pia na kufunga barabara??

Iko hivi;Kufunga barabara ni kero kama kero zingine!na haina maana eti wewe ukifunga barabara ukaswali wakati maeneo mengine ya wazi yapo ndio itakufanya uingie FIRDAUS,hiyo haipo!!

Hata hiyo Idd yenyewe mtume S.A.W ameelekeza kuwa iswaliwe UWANJANI inapobidi!!na sio barabarani!!barabarani watu mtasali kwa dhalura na hiyo dharula kwa tunaowaona hapa tanzania wanaswali bado hawajaifikia!!ni ubinafsi tu kwa kweli.
 
Nkwesa Makambo

Mkuu kuna siku nusura tupoteze mama na mtoto!mjamzito ameshikwa na uchungu wa ghafla!kufika njiani barabara imefungwa!!aargh!!mi sikubaliani na hili swala banah!!

Makanisa yalivyokuwa mengi nchini hapa wakisema watoke na wao wakasalie barabarani hali itakuwaje??tutapata hata sehemu ya kupita kweli??ni nini maana ya kujenga nyumba za ibada?

Mbona viwanja vya shule na mipira vipo jamani!?katika hili suala watu tumegawanyika!!

...sasa kwakuwa Kanisa halifanyi basi na wengine wasifanye !?............. Wagalatia mna nongwa sana !

Ijumaa ni siku ya jamaa, siku ya pamoja, siku ya kuonyesha umoja wa Waislaam, siku ya kukutana Waislaam wa sehemu mbali mbali mahali pamoja !

View attachment 252210

Where can you get this kind of gathering ! ....tena hawa wamekusanyika bila ya ushawishi wa 'viwete watatembea na vipofu wataona' ! Kimbley
 
Last edited by a moderator:
Hizo barabara si zinakanyagwa kwa viatu lakini? Au gari kama limekanyaga mavi ya kitimoto au mikojo inakuaje tena panakua sehemu ya kuabudia?
 
Hii Quran Wengi mnaiquote vibaya!!kwa hiyo ni haki wewe kufunga barabara na kuzuia waislamu wenzio wasipite kisa tu unaipenda akhera kuliko dunia?mbona hata hiyo Aya haiusiani pia na kufunga barabara??

Iko hivi;Kufunga barabara ni kero kama kero zingine!na haina maana eti wewe ukifunga barabara ukaswali wakati maeneo mengine ya wazi yapo ndio itakufanya uingie FIRDAUS,hiyo haipo!!

Hata hiyo Idd yenyewe mtume S.A.W ameelekeza kuwa iswaliwe UWANJANI inapobidi!!na sio barabarani!!barabarani watu mtasali kwa dhalura na hiyo dharula kwa tunaowaona hapa tanzania wanaswali bado hawajaifikia!!ni ubinafsi tu kwa kweli.
uelewa wako ni mdogo ! ........... ni jeuri ya kidunia inakusumbua, kwani hakuna mahali kuna mtu kashindwa kufika atakako kwenda kisa waislaam wamefunga njia !
Basi tuu...roho inakuuma na chuki kuwaona Waislaam wanafanya ibada .....tena ibada ya dakika 45 tu !
 
Back
Top Bottom