Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Munao uhuru mkubwa wa kurudi kwenu Sengerema au Biharamulo au au popote munapopaita kwenu. Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi. Kwani lazima uje Kariakoo?

Histohisia za wazee wa dar na gerezani chini ya mohamed said zimekufunga akili.
 
View attachment 252175

Hatutoshi kwenye Nyumba !

View attachment 252176

Hapo ni Italy, mbele ya Kanisa !

View attachment 252177

Wayahudi wametuzuia kuingia Msikitini, Al Ag'sa (Qud's)

View attachment 252178

Hapo ni Juu ya Meli !

View attachment 252179

Hapo ni China, barabarani ! :becky:

View attachment 252180

Hawa ni Wafungwa, Sala ya Ijumaa !

View attachment 252182

Wanajeshi wa Korea, wako katika Majukumu ya kijeshi.

View attachment 252183

Eid Holiday - Senegal !

View attachment 252184

Hata huu msikiti wa Makka huwa hautoshi ! :becky:

Aiseee waislam wanapendeza kweli wakiswali nje yaani hadi wagalatia wanawaonea wivu
 
Yaani kufunga mitaa ni utaratibu wa sehemu! Acha kujitoa ufahamu.

Mkuu madhali ni kitu cha muda mrefu, kinafanyika miaka Na kaka, siku fulani katika wiki au mwezi au hata mwaka Na watu wa eneo husika wanalitambua hilo basi huo tayari ni utaratibu.

Mleta mada kaona linamkera Lkn Kwa watu wengine ni poa tu, muhimu ni kuvumilia tu.
 
Hata kama mna kakundi kenu ka watu sijui wangapi, lakini barabara ni watu wengi zaidi isitoshe barabarani siyo mahali pa kuabudia kwa nini muabudie barabarani ilihali watu wengine hawahusiki na ibada yenu? Tafsiri ya neno uchafu ni kitu chochote kuwepo mahali pasipokuwa pake. Mfano choo ya mtu kuwa chooni lakini ikiwa sebuleni ni uchafu. Ndiyo maana mipango miji wanapanga eneo la kuabudia, viwanda, soko nk. Iweje watu kusali barabarani? Itakuawaje kama watu watakuja kucheza pool Msikitini?
Hivi kweli mtu anaweza kuwa anafanya ibada peke yake na barabara ikafungwa? Ama nini maana neno binafsi, kama walikuwa ndiyo uma unaongelea huo au neno uma kwako wewe linamaana gani? punguzeni chuki hazijengi bali zinabomoa.
 
Pwani ndo waanzilishi wa hayo mambo watu washazoea na ni kawaida ukiona hivyo angalia njia iliyonyeupe upite ila ingekuwa kila siku ingekuwa si vizur kwa kuwa kwa wik mala moja halafu kwa muda mfup haina shida pia ukuaji wa miji huenda hao wenye hizo shughuli toka muda mrefu wapo hilo eneo inabid wahamiaj mjipange.

Naunga mkono hoja
 
Unadhihirisha ulivyopungukiwa ustaarabu, unatoa jibu rahisi kwa swali gumu. Kwani wewe nani kakuambia pwani ni kwako peke yako? Hata kama umedanganyika hivyo ni ustaarabu gani shughuli zako binafsi zilete karaha kwa wengine? Nadhani ni busara kama shughulizako zisingiliane na shughuli za wengine, uhuru wako unashia pale uhuru wa wengine unapoanzia
We kama unaona kero rudi kwenu bara
 
hongera yako wewe mwenye uelewa mkubwa wa kutoka msikitini na kwenda kufunga barabara ukasali eti ukategemea utaiona pepo kwa kuziba kwako njia!!

Kwani huwa wanatoka msikitini wakaswali barabarani?

Kumbe Kweli huelewi what's going on
 
Wivu sina ila roho inaumaaaaa🎶🎶
Wivu uzaa chuki..
Ukiona barabara imefungwa tambua kuna kibali maalum.na barabara zinazofungwa uwa zina mbadala wake...pole manina zako ukitoka kwenye barabara utahamia spika zinapiga kelele alfajiri...
 
Kwani huwa wanatoka msikitini wakaswali barabarani?

Kumbe Kweli huelewi what's going on

...sasa kwakuwa Kanisa halifanyi basi na wengine wasifanye !?............. Wagalatia mna nongwa sana !

Ijumaa ni siku ya jamaa, siku ya pamoja, siku ya kuonyesha umoja wa Waislaam, siku ya kukutana Waislaam wa sehemu mbali mbali mahali pamoja !

View attachment 252210

Where can you get this kind of gathering ! ....tena hawa wamekusanyika bila ya ushawishi wa 'viwete watatembea na vipofu wataona' ! Kimbley

Nilimjibu hivo kutokana na hizo Comment zake!labda kweli sijaelewa basi nielekeza best.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini kuvumilia? Zamani sio siku hizi mambo huwa yanabadilika. Zamani inaweekana kulikuwa na watu wachache tena wa imani moja, siku hizi watu wengi wenye imani tofauti, hata msongamano wa watu sasa hivi ni mkubwa ukilinganisha mwaka 47. Ukifunga barabara sasa hivi ni issue kubwa tofauti na zamani ilikuwa rahisi hata kujua barabara ile imefungwa watu wakatumia nyingine. Swala la kusema ni kwa muda mfupi huwezijua dakika tano inaweza kusababsha madhara makubwa sana. Hivi shughuli hiyo ikienda kufanyika mahali panapotakiwa itakuwaje mpaka mfanyie barabarani. Hivi mtume wenu alisali barabarani kweli.
Mkuu madhali ni kitu cha muda mrefu, kinafanyika miaka Na kaka, siku fulani katika wiki au mwezi au hata mwaka Na watu wa eneo husika wanalitambua hilo basi huo tayari ni utaratibu.

Mleta mada kaona linamkera Lkn Kwa watu wengine ni poa tu, muhimu ni kuvumilia tu.
 
mnashangaa ibada? mbona zinafungwa kwa ajili ya vigodoro? mm inanikera sana hii tabia ambayo ipo sana hasa kwa waswahili
 
rudia mabishano yetu yote kwa ufasaha,utagundua kama naelewa kinachoendelea au sielewi

Nimeona yote mkuu.

Ila si kweli kuwa waumini huwacha msikiti wakaswali barabarani.

Huwa tayari kuna waumini wamejaa msikitini, inawabidi wengine waswali nje, kama kuna baraza, Na nje kunapojaa basi huwa wanajitandaza barabarani, ili kila mtu apate kufanya ibada Na Kwa sababu tumehimizwa kuswali Kwa wakati hivyo unapoingia wakati wa swala basi hata kama upo baharini wewe utatakiwa uswali.

Na swala ya ijumaa huzidi watu Kwa sababu hakuna jamaa nyengine badala yake, Na fadhila zake zina darja zaidi. Kumbuka Kwa siku za ijumaa hata wanawake huwa wanaenda mskitini Tofauti Na siku nyengine.

Watu wakitoka makwao ijumaa hubeba misala, au vibacha ili jamaa itapomfika popote apate kuswali.
 
Kwa nini kuvumilia? Zamani sio siku hizi mambo huwa yanabadilika. Zamani inaweekana kulikuwa na watu wachache tena wa imani moja, siku hizi watu wengi wenye imani tofauti, hata msongamano wa watu sasa hivi ni mkubwa ukilinganisha mwaka 47. Ukifunga barabara sasa hivi ni issue kubwa tofauti na zamani ilikuwa rahisi hata kujua barabara ile imefungwa watu wakatumia nyingine. Swala la kusema ni kwa muda mfupi huwezijua dakika tano inaweza kusababsha madhara makubwa sana. Hivi shughuli hiyo ikienda kufanyika mahali panapotakiwa itakuwaje mpaka mfanyie barabarani. Hivi mtume wenu alisali barabarani kweli.

Bado utabaki kuwa utaratibu tu. Ataekereka inabidi avumilie tu kama tunavovumiliana kwa mengine. Mtume wetu kaswali kila ambapo wakati wa swala ulimfika.
 
Nimeona yote mkuu.

Ila si kweli kuwa waumini huwacha msikiti wakaswali barabarani.

Huwa tayari kuna waumini wamejaa msikitini, inawabidi wengine waswali nje, kama kuna baraza, Na nje kunapojaa basi huwa wanajitandaza barabarani, ili kila mtu apate kufanya ibada Na Kwa sababu tumehimizwa kuswali Kwa wakati hivyo unapoingia wakati wa swala basi hata kama upo baharini wewe utatakiwa uswali.

Na swala ya ijumaa huzidi watu Kwa sababu hakuna jamaa nyengine badala yake, Na fadhila zake zina darja zaidi. Kumbuka Kwa siku za ijumaa hata wanawake huwa wanaenda mskitini Tofauti Na siku nyengine.

Watu wakitoka makwao ijumaa hubeba misala, au vibacha ili jamaa itapomfika popote apate kuswali.

asante kwa somo zuri mkuu! umewaelewesha vizuri labda sasa ibaki chuki tu
 
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Siku nyingine ukiona wamefunga barabara nenda mahali wanakochinja nguruwe, chukua kichwa ambacho bado kinatiririka damu, fungasha kwenye fuko la Rambo, nenda hadi hapo wanakofanya Ibada, kitoe hicho kichwa kwenye mfuko warushie.....
 
Tutakapostaarabika na kuanza kufuata sheria mambo yote yatarekebika. Taratibu haziwezi kuwa juu ya sheria. Watu wataacha kusali barabarani kwanza hawasali yanajishoo tu, watakapoacha kuuza bidhaa zao barabarani watakapoacha kutanua nk. Sasa hivi katika ujenzi mpya wa barabara wamezuia uwezekano wote wa kutanua kwa kujenga vizingiti katika njia za watembea kwa miguu. Hata ninyi tutatafuta utaratibu utakao wazuia tena kwa vitendo tabia za kusali/ kula wali barabarani
Bado utabaki kuwa utaratibu tu. Ataekereka inabidi avumilie tu kama tunavovumiliana kwa mengine. Mtume wetu kaswali kila ambapo wakati wa swala ulimfika.
 
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.

Wenye itikadi kali wana uwezo hata ya kufunga k.koo nzima watu wakaona pouwa tu. Faiza foxy akiona hii thread atatokwa na povu,
 
Huu uzi umekuja baada ya kuwa na Post ya kufumaniwa PADRI.
Ili kupoteza concentration kule.
Kwani wakati wa Manabii ilikuwaje?
Soma BIBLIA wewe acha Umbulula.
 
sasa ukienda Zenji si ndio utashangaa!!?maana mpaka Shein mwenyewe anashiriki kufunga barabara!hata mimi kwa upande mwingine siliafiki hili suala.

Kwanini wasiazime hata viwanja vya shule au vya mipira??mimi pia nakerekwa sana na hili!!
Mmmh !! tena sisi huwa tunafungaga weeki nzima...na akija askari hupewa ubwabwa huyoo!! nawe karibu pia.....
 
Back
Top Bottom