Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...

Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...

Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.
Hii tabia nimeiona pia Arusha mjini na haswa Waarabu,kufunga mitaa kwenye sherehe zao na kuzuia watu kupata mahitaji muhimu at city center.
 
Back
Top Bottom