ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,952
kufunga mitaa ni utamaduni wetu anayeona kero aende kwao sisi hatutakuja huko
Utamaduni wenu na nani? Hivi mnafikiri kwa kutumia nini? Barabara ni za public na sio kwa ajili ya shughuli binafsi kama sala au harusi. Hivi kila mtu akiamua kufanya anavyotaka hii nchi itaenda kweli?

