min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,622
Umechemka swetie😂😂Hairisha
Umechemka swetie😂😂Hairisha
Hatucheki na wowote au yeyote....Hivi ni ni hatucheki na wowote au hatucheki na yeyote?
Ni
Kuloga ? Ama
Kuroga?
Ni kachumbari watu wa daslamu ndio wanasema kachumbali😁Hatucheki na wowote au yeyote....
Maneno yote yapo sawa inategemea hicho usichocheka nacho ni kitu gani
Kama haucheki na mtu ni
(hatucheki na yeyote)
Kama hatucheki na kitu ni
(hatucheki na chochote)
Kama hatucheki na muda ni (hatucheki na wowote)
Kuloga na kuroga naona yanatumika yote, naona inategema na sehemu na sehemu.
Neno ambalo limenihangaisha mie ni kachumbali/kachumbari 😁
Kiarabu salatahHatucheki na wowote au yeyote....
Maneno yote yapo sawa inategemea hicho usichocheka nacho ni kitu gani
Kama haucheki na mtu ni
(hatucheki na yeyote)
Kama hatucheki na kitu ni
(hatucheki na chochote)
Kama hatucheki na muda ni (hatucheki na wowote)
Kuloga na kuroga naona yanatumika yote, inategema na sehemu na sehemu.
Neno ambalo limenihangaisha mie ni kachumbali/kachumbari 😁
Kachumbari 😁 imechukua muda sana kupata usahihi wake kwahiyo nikiandika mara nyingi naandika kachumbari/li mtu atachagua neno sahihi.Ni kachumbari watu wa daslamu ndio wanasema kachumbali😁
AhirishaHabari wataalamu wa lugha.
Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
Li ukiwa daslamu na viunga vyake😅Kachumbari 😁 imechukua muda sana kupata usahihi wake kwahiyo nikiandika mara nyingi naandika kachumbari/li mtu atachagua neno sahihi.
Vyombo vya habari tz vimajaa watu wasiojua kutamka wala kuandika kiswahili,sijui itakuaje miaka 20 ijayoAsante, nami ndio najua hivi lakini matumizi yake yameanza kugeuzwa kwa kasi hadi vyombo vya habari vimebadili matumizi
Sio udambwi 😂Li ukiwa daslamu na viunga vyake😅
Tumbukiza au Dumbukiza...?Hivi ni ni hatucheki na wowote au hatucheki na yeyote?
Ni
Kuloga ? Ama
Kuroga?
Utakua mtoto wa 90 katikati au mwishoni,hamjui kiswahili, wazee wa '..hiko ndo kilimfanya...'yes akiwa ni mtu mmoja ana hairisha wakiwa zaidi ya mtu mmoja wana hairisha safari
Urembo rembo,manjonjo,sherhe (sherehesha)Sio udambwi 😂
Hili neno nalo maana yake halisi ni nini? Udambwi udambwi
Ameahirisha pia ni sawaAhirisha❌
Hairisha❌
Ghairi ✅
ikitumika kweny sentensi ; Ame ghairi kufanya kile
onesha sio kiswahili itakuwa ni kilugha chenuMkuu, inaelekea mwalimu wako wa kiswahili alikua anasinzia darasani.
Nikuulize lingine.
A. ONYESHA
B. ONESHA.
Hapo ni mafekeche flani hivi yaliyoongezewa nakshi fulani hivi za ziadaSio udambwi 😂
Hili neno nalo maana yake halisi ni nini? Udambwi udambwi
Heeeeee 😂😂😂Hapo ni mafekeche flani hivi yaliyoongezewa nakshi fulani hivi za ziada