nauliza tu wapare wengi ila sio wote huwa na roho mbaya makazini huwa ni utamaduni au nini hasa?Umekaa na wapare wa Kihurio were.
Wapare ni gentlemen wengi wao. Achana na ufupi
nauliza tu wapare wengi ila sio wote huwa na roho mbaya makazini huwa ni utamaduni au nini hasa?Umekaa na wapare wa Kihurio were.
Wapare ni gentlemen wengi wao. Achana na ufupi
Nafikiri umekosea ujumbe wakoNgoja nikuache rafiki yangu Ingekuwa ni miaka ya tisini ningesema jana usiku ulikesha beach party . Beach party ilifungwa na serikali kati ya mwaka 1996 au 1997.
Kumbe kihurio ndio wapo hivyo😅
Jamaa ni wabishi na wana maneno mengi nilikaa nao na ni marafiki wazuri sanaRafiki zangu wa kihurio
nauliza tu wapare wengi ila sio wote huwa na roho mbaya makazini huwa ni utamaduni au nini hasa?
Jamaa ni wabishi na wana maneno mengi nilikaa nao na ni marafiki wazuri sana
Hahaha wachaga tunawamudu vizuri tuWabishi kwa sababu unaongea nao mambo ya kawaida wanayoyajua.
Ukitaka kujua mtu mbishi elezea mambo ambayo hayajui ya kisayansi au kiuchumi, akibisha huyo Mbishi+ Mjuaji.
Wapare wengi ni Wasaka maarifa. Hivyo ukija na mada za kawaida watakusumbua Sana.
Sisi hatunaga maneno mingi bwashee 😅😅 wagweno kidogo wanafanania na sisi zaidi kuliko wapare wengine🤓🤓
Wazee wa kisusio
Nakupa mfano kaka. Idarani kwetu wapo wawili. Mmoja ana cheo vijana wanafanya kazi vizuri tu lakini haki ya maokoto yao ya kihaki (OT) hawapi na wakienda kuidai wataipata ila baada ya hapo ni chuki nje njeWapare wengi hupendelea HAKI
Hiyo huwafanya wale wasiopenda Haki kuwaona wanaroho Mbaya.
Humu Ndani JF wapare wamejaa wengi Mno.
Embu toa mfano hata mmoja kama kielelezo cha mada yako.
Nakupa mfano kaka. Idarani kwetu wapo wawili. Mmoja ana cheo vijana wanafanya kazi vizuri tu lakini haki ya maokoto yao ya kihaki (OT) hawapi na wakienda kuidai wataipata ila baada ya hapo ni chuki nje nje

Tazama Kiswahili alichoandika huyu 👇 nanukuu mstari mmoja kati ya mingi "amekuja akiwa ana mawasiliano ya ndugu yoyote"Habari wataalamu wa lugha.
Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
Kizazi cha sasa hivi kina tatizo kubwa la kutumia H na A kwenye maneno. Utakuta wanaandika ''aina'' wakiwa na maana ''haina'' na maneno mengine mengi tu....usitumie nguvu nyingi angalia mfano huu haipo na ipo inajieleza vizuri. lugha sahihi ni Hairisha. huwa tuna hairisha safari
Nashukuru kwa maelezo yakoHuyo ni yeye kama yeye.
Haihusiani na Kabila.
Tabia za kikabila ili uzijumuishe itakupasa ujue Mila, na desturi na tamaduni husika.
Je tamaduni za kipare zinawafanya wawe na Roho Mbaya kama unavyodai?
Nitakupa Mfano;
Wachaga utamaduni wao ni kufanya biashara. Na biashara inalenga Faida. Utamaduni wa kupenda faida umewajengea Tabia ya kupenda pesa.
Hivyo ukisema wachaga wanapenda pesa hautakuwa mbali na ukweli kwani ni Jambo la kitamaduni.
Wapare, na roho mbaya.
Mila za kipare msingi wake upo katika Haki.
Swali linakuja, je utamaduni wa haki unaweza kuzalisha tabia za roho mbaya kwa Watu?
Hata hivyo zipo tabia za mtu mmojammoja.
Mfano mtu anaweza kuwa Mchaga ila asipende pesa.
Nashukuru kwa maelezo yako
well saidUkitaka uwezane na watu wenye Roho za Kutu. Wapuuzie, lakini kuwa Mwenye Hali. Lazima atasanda
Huyu anasumbuliwa na “H” ila hajui. Naona anambishia kila mtu 😅Sio "hujuaji" neno sahihi ni UJUAJI
Hajui kwamba hajui 😂😂😂Huyu anasumbuliwa na “H” ila hajui. Naona anambishia kila mtu 😅