Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Habari wataalamu wa lugha.

Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
Utumiaji wa maneno umekuwa vituko sana.Neno ni ahirisha.Sasa utakutana na;-
-nyimbo moja,
-akuna,
-idala,
seem.
Bloody mburulazz!
 
A na H kwa kiswahili zina sound inayo endana hivyo ni rahisi kwenye uandishi mtu abumbe
Kwa sisi vijana wa zamani, tuliofundishwa na walimu makini hatuchanganyi kabisa A na H. 😁

Ila kwa sasa sio ajabu kabisa kuona mwalimu wa somo la kiswahili anaandika "hasubuhi" huwa nashangaa kwakweli. Au mwalimu anaandika "kweri" inashangaza.
 
Kwa sisi vijana wa zamani, tuliofundishwa na walimu serious hatuchanganyi kabisa A na H. 😁

Ila kwa sasa sio ajabu kabisa kuona mwalimu wa somo la kiswahili anaandika "hasubuhi" huwa nashangaa kwakweli. Au mwalimu anaandika "kweri" inashangaza.
Mimi pia niwazamni😅😅😅 sema lafudhi ya kichaga ina athari kubwa kwenye A na h kutoka matamshi kwenda maandishi kwa baadhi ya miundo ya sentensi na meneno.
 
Mimi pia niwazamni😅😅😅 sema lafudhi ya kichaga ina athari kubwa kwenye A na h kutoka matamshi kwenda maandishi kwa baadhi ya miundo ya sentensi na meneno.
Bora katika matamshi itaeleweka, nikimsikia Heche anawema "kweri mmeerewa" simshangai kabisa ila akiandika "kweri mmeerewa" nitashangaa 😁

Au lafudhi inaenda hadi kuandika?? Sijawahi kuona Robert Heriel Mtibeli kaandika "thithi" badala ya sisi.
 
Kwenye A na H ni kawaida , hata ukiandika sio rahisi watu wengi wang'amue labda wale manguli wa kiswahili tu.
 
Back
Top Bottom