Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

Habari wataalamu
Habari wataalamu wa lugha.

Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
ukijua neno sahihi kati ya mtu hayupo na mtu ayupo. jibu hilo hilo ni sawa na hairisha na ahirisha.
 
Habari wataalamu wa lugha.

Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
vijana wa siku hizi hujuaji mwingi kama suruali na mkanda. Hivi ni hawezi au awezi?. Hivi ni hawezi kuja au awezi kuja. Gen Z bwan.a. Tunakoelekea tutaanza kuulizana ni neno sahihi ni lipi kati ya xaxa au sasa.
 
Habari wataalamu wa lugha.

Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
nyie ndio wale wale mnaosema afu uje badala ya kusema halafu uje
 
Back
Top Bottom