Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,752
- 3,149
Mkuu unatumia nguvu kubwa sana kudhihirisha ukilaza wako, siyo maneno yote yanafuata huo muundo wako.
Anyway, kiswahili fasaha ni ghairi-ghairisha
Anyway, kiswahili fasaha ni ghairi-ghairisha
nyie ndio wale wale mnaosema afu uje badala ya kusema halafu uje