Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ama zangu ama zao eas coast team kwa tmk wanaume
nyumbani ni nyumbani tmk kwa east coast
kamua tmk kwa east coast
Leo east coast kwa tmk wanaume
 
Fid q alimtema nje mshkaj wake huyu rado akazama studio..

Rado akatoa hiyo diss

Kumbe mambo ndo yalikua hivo😂 huwez amini hio nyimbo ya USIULIZE nilikua naipenda sn na sikujua km ni DISS TRACK nimejulia humuhumu JF, na mie si mpenzi wa Hiphop, but naipenda hio nyimbo kuanzia beat mpk Lyrics.
 
Back
Top Bottom