Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Diss Track Zangu Bora ni : -

1. You Got Luv it - Camron (Jay-z Diss).
2. Hit 'Em Up - 2 Pac ft Outlawz.
3. Got Yourself A Gun - Nas.
 
*Juma Nature - "Jinsi Kijana" diss kwa Inspekta Haroun.
*Dudu Baya - "Nidhamu" diss kwa Master J.
*Mabaga Fresh - "Mtulize" diss kwa Inspekta Haroun.
*Luteni Karama - "Najitoa muhanga" diss kwa Inspekta Haroun.
*Mchizi Moxie,Jafarai,Kelvin & Mac 2b - "Nipende nichukie" diss kwa P funk.
*Kikosi cha mizinga - "Beef" diss kwa walamba lips.
*Mexcana Lacavela - "F**k Lunduno" diss kwa Lunduno(Nikki mbishi,Stereo)
*Nikki mbishi - "Ney wa mitego" diss kwa ney wamitego.
*Nikki mbishi - "where's my crown at" diss kwa wakazi.
*Nash Mc - "Kaka Suma" diss kwa serikali esp SUMATRA.
*Nash Mc - "Zima" diss kwa media za bongo chanzo ni mtangazaji Sam Misago.
*Nash Mc - "Nash Qaida" diss kwa Prof J.



Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu mzee baba wewe nae muhenga bila shaka hizi ngoma ni za around 1999-2001

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa walienda kwa Majani wakitaka kurekosi nyimbo, jamaa aliwasikiliza akaona hapa hamna kitu na akifanya ngoma nao ataishusha hadhi studio yake. Basi hakuwaambia ukweli akawa anawapiga kalenda na pesa kachukua, kila akiwapa tarehe wakija hawamkuti.

Siku moja wakamwotea na kuja siku ambayo hawana miadi, wakamkuta ila Jamaa keshapiga kijiti chake. Jamaa wakazingua, wakijua ni mchovu. Majani hakuremba akawatolea mguu wa kuku, walinyuti na kula kona wenyewe.

Ndiyo wakaenda South wakaachia diss hiyo
 
Aiwezi kuwa dis ya wakati wote, flow mbovu, mistari mibovu kama underground, mitusi mengi , Akuna vina, mwisho wame copy kwenye me and my girlfriend ya tupac, " nigger dei nigger dei , nigger mmmh mhmh paah paah

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimeweka ngoma kuchangamsha uzi na wengine ambao hawakuwahi kuisikiliza waijue.
Orodha ya ngoma zangu za diss nimeiweka hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubwa kuliko zote ni young killer kwenda kwa ney yaan hapo kiler alijionesha kuwa yeye sio mdogo hata chembe yaan ni mkubwa kimashairi na ule msemo pambana na hal yako ukaenda sambamba na hali ya magu hatare sana
 
Back
Top Bottom