Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Daaa wewe jamaa umenikumbusha mbali na hii ngoma, ahaaaaaaaaa "ukitaka battle nami kwanza vocal kaza* at least uwe hardcore kama coco braza*(kala pina) mc famba* mistari yako bikra mi nina big DICK stanza*

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha.. kimziki hutoki sababu hufoki kama mimi../ wape report wakupe saport amaa niniiiiiii...
 
Back
Top Bottom