Hawa ndiyo wasanii wa Hip-hop Tanzania Kama wangeamua kutoa diss track kuhusu kaligraph Basi ingekua ni kisanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,723
Hapa kaligraph msanii wa hip-hop toka Kenya alijinasibu nakusema yeye ni rapper mkali ndani ya East Africa na hakuna Rapa yeyote kutoka Tanzania anayeweza kumtisha.

Uliibuka mjadala mkubwa mitandaoni na mpaka wasanii wengine kuzama booth nakuanza kumtaack akiwemo Songa, Rosa ree na Fido vato.
Nimesikiliza diss za hao wasanii bado ni nyepesi sana kidoogo Rosa ree kaonesha kitu.

NALIA NGWENA naona Kabisa wasanii Hawa Kama wangeamua kuingia booth Basi kaligraph Jones asingerudia Tena kuongea utumbo wake.

(1) Nikki Mbishi
Huyu mwamba anaiweza Vita haswaa ujuzi wake wa kurap, kuandika na pia ni freestyler mzuri tu.
Achilia bato na uchokozi kwenye line na kuwachalenge wasanii wenzake Nikki Mbishi ni complete package Hilo halina ubishi. Kwenye nyimbo yake ya dakika mbili anasema "kalapina Nabii Koko...//
Ukija kwenye vina ni wazi madee Cho***//

Achilia mbali uchokozi wa Nikki Mbishi lakini pia Wakazi anamjua Nikki Mbishi ni Nani ni baada ya kupitiwa na Nikki Mbishi kwenye ngoma inayoitwa "where my crown at?"

Achana na hiyo Rudi kwenye Nyimbo ya "Ney wa Mitego" humu alidisiwa msanii Ney ujuzi wa Nikki Mbishi wa kupanga bars na kurap ulimnyamazisha Ney wa mitego.

Hakika Nikk Mbishi Kama angeamua kumjibu Kaligraph Basi ingekua ni noma sana na asingerudia kutafuta kiki.

(2)P the Mcee, naam Kama ingekua mziki ni football Basi huyu msanii namfananisha na prince dube (muuaji anayetabasamu) huyu ni msanii mkali katika tasnia ya hip-hop haswa katika uandishi wa punchlines, aliwahi kusikika kwenye interview akisema "wasanii wa hip-hop wanaogopa kufanya collaboration na mimi wanajua nitawafunika''

Huyu ndiye msanii wa hip-hop aliyefanikiwa kumfikia Nikki Mbishi ndani ya "Futi sita' Nikki hakujibu hii mpaka Sasa na hakuna aliyetegemea kuwa P mawenge kufanya kitu kama hicho.

(3)YOUNG KILLER MSODOKI
Mdogo kiumbo Ila ni mkubwa kiakili, mashairi yake anayoandika ukimsikiliza unaona kabisa huyu ni next level, Vita za battle huwa aakalisha sana.
Alidhihirisha hayo kwenye diss track yake inayoitwa "true boya" alimpitia Ney mitego na Ney Hakujibu tena.
Rudi kwenye "freestyle session 6" alifanikiwa kuizima "session 5" ya young lunya mpaka Sasa mjini YouTube killer anafanya vizuri kuliko lunya.

laiti Kama Young killer angeamua kuzama booth Basi huyo baunsa wa Kenya angeita maji mma.

(4)MEX CORTEX, Huyu Kanjibahi anafloo kwa lugha mbili kiingereza na kiswahili kwa wanaofuatilia mziki wa Hip-hop nadhani wanajua uwezo wa huyu mwamba ni Moto wa kuotea mbali.
Nenda kasikilize Ngoma iliyomzika motra the future inayoitwa "amkia'
Mex alifanikiwa kuingilia Kati ugomvi wa lunya na Killer baada ya kutoa hiyo diss track kwa lunya, lunya Hakujibu tena na ndiyo ikawa mwisho wake na mex kubaki kuwa mshindi.

Kama Mex angeamua kuzama booth Basi kaligraph angezalilika vibaya mno.

(5)DIZAZITA VINA.
huu ni mwarobaini wa kijana Rapcha, nafikiri kila akisikia jina dizasta anajificha. Dizasta alifanikiwa kumzima Raptcha kupitia diss track inayoitwa "tribulation" katika hii diss kumejaa kila Aina ya utani humu Rapcha alichezewa alishikwa kila mahali, uwezo wa kupanga vina na kutambaa na midundo high skills hakika duzaster vina ni mwamba.

Hii ni silaha kubwa mno katika diss track kama angeamua kumjibu Kaligraph inagekua shughuli kubwa.

(6)CHOLO BRIGHTER (UZAO WA NIKKI MBISHI)
huyu dogo yupo vizuri sana Tena sana kutambaa na midundo kucheza na maneno paunchiline anazo za kutosha pamoja na vitisho katika mashairi yake.

Aliwahi kusema kwenye interview 'uandishi na uchanaji wa Nikki Mbishi unaniathiri sana kwa maana namadikiliza sana'

Kupitia diss track yake inayoitwa "beki tatu"' humu alimpitia msanii anayeitwa WAKAZI.

na hii Ngoma WAKAZI Hakujibu mpaka Sasa lakini humo Kuna utani mwingi sana WAKAZI kataniwa punchilines za kutosha.

Hawa ndiyo wasanii waliostahili kumjibu Kaligraph Kama wangeamua kwenda studio Basi huyo baunsa wa Kenya angetaga mayai mchana kweupe.
 
Amechelewa sana kufanya kiki.

Atafute menejimenti nzuri iweze kumsimamia na kumuongoza kisawasawa.

Bahati mbaya Ana fanya kiki na watu ambao hawato msaidia kitu.

Ana jaribu kuliangalia soko la TZ ila ajipange vizuri atatoboa ila mwendo ukiwa huu basi ana Safari ndefu au anapoteza muda.

Atakuwa kama kidumu ameondoka Tz Msanii mkubwa amefika KE asikiki tena.
 
Huu ni utumbo, hao hata wakidiss who cares??

Ni sawa na wewe umdiss diamond, nani atajali sasa?

Taja watu A-list, sio hao ambao miaka nenda rudi wanajitafuta
 
Hapa kaligraph msanii wa hip-hop toka Kenya alijinasibu nakusema yeye ni rapper mkali ndani ya East Africa na hakuna Rapa yeyote kutoka Tanzania anayeweza kumtisha.

Uliibuka mjadala mkubwa mitandaoni na mpaka wasanii wengine kuzama booth nakuanza kumtaack akiwemo Songa, Rosa ree na Fido vato.
Nimesikiliza diss za hao wasanii bado ni nyepesi sana kidoogo Rosa ree kaonesha kitu.

NALIA NGWENA naona Kabisa wasanii Hawa Kama wangeamua kuingia booth Basi kaligraph Jones asingerudia Tena kuongea utumbo wake.

(1) Nikki Mbishi
Huyu mwamba anaiweza Vita haswaa ujuzi wake wa kurap, kuandika na pia ni freestyler mzuri tu.
Achilia bato na uchokozi kwenye line na kuwachalenge wasanii wenzake Nikki Mbishi ni complete package Hilo halina ubishi.
Kwenye nyimbo yake ya dakika mbili anasema "kalapina Nabii Koko...//
Ukija kwenye vina ni wazi madee Cho***//
Achilia mbali uchokozi wa Nikki Mbishi lakini pia Wakazi anamjua Nikki Mbishi ni Nani ni baada ya kupitiwa na Nikki Mbishi kwenye ngoma inayoitwa "where my crown at??"
Achana na hiyo Rudi kwenye Nyimbo ya "Ney wa Mitego" humu alidisiwa msanii Ney ujuzi wa Nikki Mbishi wa kupanga bars na kurap ulimnyamazisha Ney wa mitego.

Hakika Nikk Mbishi Kama angeamua kumjibu Kaligraph Basi ingekua ni noma sana na asingerudia kutafuta kiki.

(2)P the Mcee, naam Kama ingekua mziki ni football Basi huyu msanii namfananisha na prince dube (muuaji anayetabasamu) huyu ni msanii mkali katika tasnia ya hip-hop haswa katika uandishi wa punchlines, aliwahi kusikika kwenye interview akisema "wasanii wa hip-hop wanaogopa kufanya collaboration na mimi wanajua nitawafunika''

Huyu ndiye msanii wa hip-hop aliyefanikiwa kumfikia Nikki Mbishi ndani ya "Futi sita' Nikki hakujibu hii mpaka Sasa na hakuna aliyetegemea kuwa P mawenge kufanya kitu kama hicho.

(3)YOUNG KILLER MSODOKI
Mdogo kiumbo Ila ni mkubwa kiakili, mashairi yake anayoandika ukimsikiliza unaona kabisa huyu ni next level, Vita za battle huwa aakalisha sana.
Alidhihirisha hayo kwenye diss track yake inayoitwa "true boya" alimpitia Ney mitego na Ney Hakujibu tena.
Rudi kwenye "freestyle session 6" alifanikiwa kuizima "session 5" ya young lunya mpaka Sasa mjini YouTube killer anafanya vizuri kuliko lunya.

laiti Kama Young killer angeamua kuzama booth Basi huyo baunsa wa Kenya angeita maji mma.

(4)MEX CORTEX, Huyu Kanjibahi anafloo kwa lugha mbili kiingereza na kiswahili kwa wanaofuatilia mziki wa Hip-hop nadhani wanajua uwezo wa huyu mwamba ni Moto wa kuotea mbali.
Nenda kasikilize Ngoma iliyomzika motra the future inayoitwa "amkia'
Mex alifanikiwa kuingilia Kati ugomvi wa lunya na Killer baada ya kutoa hiyo diss track kwa lunya, lunya Hakujibu tena na ndiyo ikawa mwisho wake na mex kubaki kuwa mshindi.

Kama Mex angeamua kuzama booth Basi kaligraph angezalilika vibaya mno.

(5)DIZAZITA VINA.
huu ni mwarobaini wa kijana Rapcha, nafikiri kila akisikia jina dizasta anajificha.
Dizasta alifanikiwa kumzima Raptcha kupitia diss track inayoitwa "tribulation" katika hii diss kumejaa kila Aina ya utani humu Rapcha alichezewa alishikwa kila mahali, uwezo wa kupanga vina na kutambaa na midundo high skills hakika duzaster vina ni mwamba.

Hii ni silaha kubwa mno katika diss track kama angeamua kumjibu Kaligraph inagekua shughuli kubwa.

(6)CHOLO BRIGHTER (UZAO WA NIKKI MBISHI).

huyu dogo yupo vizuri sana Tena sana kutambaa na midundo kucheza na maneno paunchiline anazo za kutosha pamoja na vitisho katika mashairi yake.

Aliwahi kusema kwenye interview 'uandishi na uchanaji wa Nikki Mbishi unaniathiri sana kwa maana namadikiliza sana'

Kupitia diss track yake inayoitwa "beki tatu"' humu alimpitia msanii anayeitwa WAKAZI.
na hii Ngoma WAKAZI Hakujibu mpaka Sasa lakini humo Kuna utani mwingi sana WAKAZI kataniwa punchilines za kutosha.

Hawa ndiyo wasanii waliostahili kumjibu Kaligraph Kama wangeamua kwenda studio Basi huyo baunsa wa Kenya angetaga mayai mchana kweupe.
Mnampa sana promo huyo jamaa (Omolo).
 
Wasanii wetu wa Hiphop bongo wamelala, Khaligraph kawaamsha. Namna walivyojibu ni ushahidi kuwa walikuwa usingizini.

Kibiashara(marketing) amefanikiwa kutred kwenye media za bongo na mitandaoni.

Nikki, One, Young Killer, na wengine wameshafanya ngoma na Khaligraph.
 
Mkuu naomba unisaidie jina la ile Ngoma ya NIKKI MBISHI ambayo kuna mstari anasema "sitaki kua playboy tena hata nikiwa playboy niwe playboy mwema..."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom