Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

1. Piga manati - East Coast Team
2. Futi 6 - P the Mc
3. Usiulize - Rado
4. Ndege tunduni - Wanaume Halisi
5. Neema wa Mitego - Nikki Mbishi
6. Niki mbichi - Kimbunga Mchawi
7. Young Killer diss kwa NEY
8. Kuna zile za O-Ten na Afande Sele
9. Ama zangu ama zao
10. Hii Leo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna track moja ilikuwa famous around 2010 mpaka 2014 hapo.. jamaa alikwenda kwa jina la Mr. Kufa. (Nadhani kwasababu mwanzo wa ngoma anasema "nataka kufaa.. njooni mniuue!!"

Ana diss na kutukana almost kila kitu..kila mtu.. kasoro afande sele. (Kuna kipande kwenye traxk anasema "nnae mkubali Afande sele tu"
Beat simple alaf mshkaji anaflow kama free style.

Nakumbuka baadhi ya mashairi yake.

"Zain..Zantell..Tiggo..Vodda.. yote hii ni mitandao ya mash*ga,
Terehe 2 mwaka alf mbili..dunia nzima wote hamna akili..
Mshenga wangu john Cena namuona kala pina.."


Kwenye hook anasema "Tabia ya kuunda makundi ni kudhihirisha uwoga"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imenichekesha huyu mshikaji anatukana dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
1. Piga manati - East Coast Team
2. Futi 6 - P the Mc
3. Usiulize - Rado
4. Ndege tunduni - Wanaume Halisi
5. Neema wa Mitego - Nikki Mbishi
6. Niki mbichi - Kimbunga Mchawi
7. Young Killer diss kwa NEY
8. Kuna zile za O-Ten na Afande Sele
9. Ama zangu ama zao
10. Hii Leo


Sent using Jamii Forums mobile app
Nikki mbishi hajajibu tu hiyo "FUTI SITA"
 
Back
Top Bottom