Angalia nilichoandika sifa na ubora wa P mwanzo kabisa na pia sijaanza kumsikia juzi bali nimesikiliza P tangu akiwa na Nash,kabla hata hajaingizwa tamaduni.Wew km hummjui P The Mcee n bora ukavunga tu.
Ngoma kali ijibiwe, hakuna kutafuta visingizio et sjui jamaa hafahamiki. Uo n usolo
Futi 6 n goma banaa
Hicho unachosema ni ushabiki na chuki dhidi ya Mbishi tu na kutaka kulazimisha ajibu wakati ni maamuzi yake.