Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,408
- 6,233
Ndoa haina doa na hakuna mwaka wa shetanu inspector haroun(babuu)
Uko sahihi hili jamaa ni balaa but too sad simuoni kama yuko sirias na hii tasniaNikki mbishi - Ney wa mitego
Nikki mbishi - Babu Talent
huyu jamaa bongo ndio nampa crown ya artist bora kabisa wa diss tracks.

Hiyo ilikuwa noma Sana kiufupi anti virus walitisha.Anti virus by vinega vs mapimbi wa mawingu
Sure sure ni kama anafanyia for fun tu, idk.Uko sahihi hili jamaa ni balaa but too sad simuoni kama yuko sirias na hii tasnia
Mzee kimewaka young lunya na young killer,mbona hatari!!!!!!!Yule killer ni mwamba sana nasubir kwanza atakavomnyamazisha lunya maana yule anafosi kiki kwa killah
yess BiShoo haswaaAaa
Kama sikosei hii ilikuwa ni jibu la inspekta babu kwa mh.temba na mwaka wake wa shetani.Ndoa haina doa na hakuna mwaka wa shetanu inspector haroun(babuu)
Fanya fanya mpango mkuu angalau utupe jina la wimbokuna ngoma washkaji wame record south ya kumdiss p funk majani iliwekwa humu jf ile sio poa , inaanza wanasema
“p funk majani k*mamako
Sent from my iPhone using JamiiForums

(Nadhani kwasababu mwanzo wa ngoma anasema "nataka kufaa.. njooni mniuue!!"


Duuu ngoja niitafute,napitwa na Vingi!!Carbon dioxide hao, nyimbo inaitwa Majani. Wamediss wasanii wote walorekodi Bongo record, hadi Nature mule kaambiwa anasaga wenzie
Ahaaaaaaaa hatari sanaSimba toka mbuga za tandare,
Naona swala wana-force tuwa salesale,
Viuno vidogo wanataka pens ya pepe kale,
Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee huyo mkush alitisha ahaaaaaaaKuna track moja ilikuwa famous around 2010 mpaka 2014 hapo.. jamaa alikwenda kwa jina la Mr. Kufa.(Nadhani kwasababu mwanzo wa ngoma anasema "nataka kufaa.. njooni mniuue!!"
Ana diss na kutukana almost kila kitu..kila mtu.. kasoro afande sele. (Kuna kipande kwenye traxk anasema "nnae mkubali Afande sele tu"
Beat simple alaf mshkaji anaflow kama free style.
Nakumbuka baadhi ya mashairi yake.
"Zain..Zantell..Tiggo..Vodda.. yote hii ni mitandao ya mash*ga,
Terehe 2 mwaka alf mbili..dunia nzima wote hamna akili..
Mshenga wangu john Cena namuona kala pina.."
Kwenye hook anasema "Tabia ya kuunda makundi ni kudhihirisha uwoga"
Sent using Jamii Forums mobile app