Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Status
Not open for further replies.
Hivi mkuu Rose,kweli kabisa hata ukitumia akili ya kawaida tu ya kuzaliwa nayo ambayo Mungu anatunuku kila mtoto wake,huwezi ona kuwa ni nani mwenye njama za kuivuruga CDM? Kweli mkuu hulioni hilo hata kwa haya haya macho ya nyama?
Pamoja na yote kuzungumzwa na kuwekwa hadharani kwa ushahidi kadha wa kadha kwa pande zote zinazohitilafiana katika CDM,bado hujaweza kujua tu nani ni nani na anafanya nini kwa manufaa ya nani na yapi?
Ni vyema sana tukawa tunarudi nyuma kujaribu kuona kulitokea nini katika jambo fulani kwa kipindi cha nyuma,maana bila kujua historia ya jambo lolote lile,ni vigumu sana kuweza kutambua jambo hilo kwa undani.

mkuu joel,, naona hiyo comment yako iko kijasusi sana, maana CDM watasema ni ZZK na wenzake.. ila mimi kwa mtazamo wangu ni wana-CDM wenyewe wanaua chama chao.

namaanisha nini ZZK ni mbunge kupitia CDM kigoma, anawashutumu wana CDM wenzake suala ni demokrasia ndani ya chama na wana-CDM wenzie wanamshutumu ZZK suala ni USALITI.
Kesi iko mahakama kuu wakili wa ZZK ni MSANDO kutoka CDM (tena diwani) kwa hiyo hapa tunapata picha kumbe hata MSANDO Halidhiki na hili, mwishoni tunaona kuna wengi wako kimya wanamawazo kama ZZK Ndani ya CDM.
MWIGAMBA alikuwa mwenyekiti wa chama ngazi ya mkoa, akashutumiwa na wana-CDM suala ni USALITI yeye anasema alikuwa akipigania demokrasia.
Marehemu chacha wangwe (rasta) alikuja na mawazo kama ya ZZK akaitwa naye msaliti akaenda zake.
KAFULILA,kabourou, arfi walikuwa wana -CDM wengine hadithi ni ileile kama ya ZZK.
Hawa wote ni wanachama ndani ya CDM, sio kutoka chama kingine.

CCM kama adui wa CDM hawezi kuwa salama kama adui yuko fit (tunasema adui mwombee njaa), hatutakiwi kuishutumu CCM katika hili ila kinachotakiwa CDM ni kumaliza shida yao na wao wamwombee njaa adui (CCM).

NI MTAZAMO TU.
 
zitto mchango wake ndani ya chadema utafananiaha na nani? wengine hao vibaraka tu waende tu.....Always Zitto is the best
 
Pole sana mchumba!!!! Povu likutoke tu salama. Lakini kiukweli Zitto tunaye tu mpaka mwisho wa chadema.

Kama ni kosa mlilifanya mapema mlipotangaza kuwa chadema ni chama cha watanzania wote.

Mngeweka bayana tangu mwanzo kuwa cdm ni Chaga Development Manifesto msingelituona sisi akina Zitto. Sasa chama kina jasho letu kwa miaka mkngi sana eti leo hii mnathubutu kutuvua uanachama bila hata kufuata utaratibu. Haiwezekani. Tupo na tutaendelea kuwepo.

Hivi ni kwanini misukule wote wa dj baba freelady na babu slaa hawawezi kuona ufisadi hawa wahafidhina kuanzia kwenye kutafuna fedha za chama mpaka kupora wake za watu!!!!!

Mwaka huu povu litawatoka sana. Nalog off

Pole pia msukule mwenzangu, maana naona speed mia kukimbilia usikokujua
pole sana
 
kuna watu humu jf wanachekesha kweli yaani uwezo wao wa kuchambua mambo umekufa ile mbaya. Hakika hawa kweli ni misukule ya akina slaa na mbowe

angewasifia akina kinana ungemwona anaakiri?????????????
 
Dada Rose Mayemba, nasoma na kuhisi kwamba ulivyokuwa ukiandika ulikuwa umesimama sehemu unayoweza kuona uzuri wa nchi yetu (countryside - mfano viunga vya Ml. Kilimanjaro, juu ya vilima vya Saranda karibu na Tinde, Namtumbo, Kamachumu, nk) ikiwa imekaliwa na watu wanaohangahika huku wakiitegemea serikali/vyama kuwanusuru na matatizo yaliyokithiri.
Bandiko lako linanifanya nianze kufikiri ni Mtanzania gani aliwahi ku 'forgo' cheo chake kwa ajili ya faida ya wengi na kumkumbuka mzee mmoja aliyeniambia hivi "kama unadhani sisi wazee tumejaa unafiki na fitina basi nyie vijana ni zaidi ya mara mia kutuzi. Taratibu naanza kukubaliana naye!
"

KAKA,,, hakuna siasa TANZANIA nimefuatilia siasa toka enzi za NCCR, TLP,CUF-NGANGALI, na sasa CDM nitachoona mimi ni njaa tu. na siku zote kama hauko makini njaa huleta unafiki. na CCM wanawin kwenye hili la njaa na unafiki uliopitiliza.
kutegemea wanasiasa kama waokozi wa TANZANIA ni suala ambalo haliwezekani, hakuna popote africa hili limefanikiwa.

SULUHU; ni wananchi (WATANZANIA) kujiongoza wenyewe kwa maana ya wote au wengi kuwa na akili moja ya
uzalendo, kama kiongozi katia hasara au kashindwa kuwa mzalendo kwa manufaa ya wote au wengi basi
inatakiwa tumuadhibu sisi wenyewe wananchi popote tumuonapo (iwe kwa mawe au fimbo, aadhibiwe kama
mwizi wa cheni manzese).

MWISHO; SIASA NA WANASIASA HAWAWEZI KUITOA TANZANIA KWENYE HILI TOPE GUMU, NGUVU YA UZALENDO BILA
MWANASIASA INAHITAJIKA.
 
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?

Wewe ikiondoka CCM Madarakani ndo utakuwa mwisho wako sababu inaonekana kwenu bila kuikuwadia CCM kwa waj..ga wenzio familia haili chochote.Huo ni ulemavu wa akiri ndugu yangu badilika dunia ya leo cyo ya kutapeliwa na mtu wa dizaini yako.
 
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?

1. Eeeeh!! So funny of you;

2. Lizaboni ni moja ya mitaa ya kule Songea Mjini; Je, unayo mahusiano yoyote na jina la huo mtaa?

3. Mara nyingi hoja na/au michango yako huwa ni hasi kupita kiasi, na inaonyesha huna hofu ya Mungu ambaye haumwoni kwa macho yako mawili, na ndio maana unaleta hasira na hekima za hovyo. Maandiko ya Mungu hutufundisha kuwa "Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe, mche BWANA ukajiepushe na uovu" Methali 3:7

4. Ndugu, unawezaje kuomba au kusema kuwa hupendi chama fulani (au jambo fulani) kwasababu au hoja ambazo huna uhakika nazo, na tena kwa hasira isiyimithilika kiasi hicho?

5. Uzuri na ubora wako hauwezi kupimwa na wewe mwenyewe; vivyo hivyo, hutaweza kupenda kila kitu duniani.

Jaribu kujenga hoja/michango yenye mantiki, na huna sababu ya kuchukia au kulaani mwenzako au mali ya mwenzako kwani mtoa laana hulaaniwa.
 
Kisa hiki cha ZZK kinanikumbusha kisa cha wanawake wawili waliopeleka shauri lao kwa Mfalme Suleiman. Kisa hiki ni changamoto ya kwanza aliyoipata Suleiman kama ilivyo kwenye Biblia kitabu cha Hekima.

Wanawake waligombania mtoto mmoja kila mtu akidai ni wake, baada ya mmoja wao kumwua mwanaye aliyedhani havutii na kuiba wa mwenzake mzuri na kuvutia eti aseme ndio wake. Mama mwenye mtoto alipodhurumia walibishania sana mtoto aliye hai, na kwa sababu wote walikuwa wazazi wa watoto wadogo ilikuwa vigumu kubaini ni nani hasa mkweli, iliamuliwa shauri lipelekwe kwa Mfalme Suleiman (Mwenye Hekima) ili aamue mtoto aliyehai ni wa nani.

Baada ya Mfalme kuwasikiliza huku kila mmoja anadai ni wake, aliamuru kiletwe kisu wampasue mtoto vipande viwili ili kila mmoja aondoke na nusu ya mtoto! Kisha akawauliza kila mmoja juu ya uamuzi ule. Yule aliyefanya hila alifurahi sana huku akijua yule myoto atakufa na kusema kuwa huo uamuzi ni mzuri na utekelezwe, lakini mama mwingine (mwenye mtoto halisi) alilia sana akamsihi Mfalme kuwa kama ni kumgawana mtoto afadhari apewe yule mama mwingine yeye akose, maana alijua wakimpasua atakufa. Basi Mfalme akafahamu wasi mwrnye uchungu na mtoto na kuwa nani ni mama halisi wa mtoto na ni nani dhalimu na muuaji, akaamuru mtoto apewe mama halisi.

Kisa hiki kinamwelekeo sawa sawa na mwenendo na mambo yanayofanywa na ZZK kwa CHADEMA. Tangu hatua ya kuvuliwa kwake ilipotekelezwa ameendelea kutekeleza dhamira yake dhalimu ya kukigawa CDM na akijua kitatetereka na moyoni anafurahia sana CDM ife, tena imfie Mbowe na Slaa! Kwa bahati mbaya baadhi ya Watanzania bila kutafakari wanamshabikia tuu huyu Msaliti na dhalimu hasa inasikitisha zaidi wanaoshabikia kama ni wana chadema.

Tuzidi kumwomba Mungu azidi kuwaimalisha viongozi wakuu wa CDM (Mbowe, Slaa, Lisu, Mnyika nk.) ili wawe imara kuelimisha umma wa Watanzania juu ya misingi ya kuimarisha chama na siku moja kuyafikia malengo ya chama. Tumpuuze huyu Iskariote na tuvuke salama tukiwa tumeimarika zaidi. Nawakilisha.
 
[/COLOR]KAKA,,, hakuna siasa TANZANIA nimefuatilia siasa toka enzi za NCCR, TLP,CUF-NGANGALI, na sasa CDM nitachoona mimi ni njaa tu. na siku zote kama hauko makini njaa huleta unafiki. na CCM wanawin kwenye hili la njaa na unafiki uliopitiliza.
kutegemea wanasiasa kama waokozi wa TANZANIA ni suala ambalo haliwezekani, hakuna popote africa hili limefanikiwa.

SULUHU; ni wananchi (WATANZANIA) kujiongoza wenyewe kwa maana ya wote au wengi kuwa na akili moja ya
uzalendo,
kama kiongozi katia hasara au kashindwa kuwa mzalendo kwa manufaa ya wote au wengi basi
inatakiwa tumuadhibu sisi wenyewe wananchi popote tumuonapo (iwe kwa mawe au fimbo, aadhibiwe kama
mwizi wa cheni manzese).

MWISHO; SIASA NA WANASIASA HAWAWEZI KUITOA TANZANIA KWENYE HILI TOPE GUMU, NGUVU YA UZALENDO BILA
MWANASIASA INAHITAJIKA.
Mkuu samurai, hii kitu imetokea bali natafuta mfano halisi kutoka hapa nyumbani sijaupata, hope nitaupata baadae. Kwa Afrika wapo, kumbuka hata majirani zetu Kenya pale Prof. George Saitoti (Marehemu) alipokuwa Makamu wa Moi kwa muda mrefu lakini Moi kaamua kumpiga chini kugombea uraisi, wengi walitegemea kuwa angeleta chuki na visasi lakini yeye akaishia kusema "Kenya ni bora zaidi ya Saitoti". Na laiti 'wasingelimuondoa' hiyo kauli ingelimpeleka Ikulu msimu huu badala ya junior.
Katika hilo la kujiongoza Watanzania inabidi ulisahau. Tumeshindwa na ndio maana baada ya huduma za jamii kushindwa kwa kiwango cha juu kwa Watanzania walio wengi na mwishowe kabisa ELIMU inakufa nayo. Ilitakiwa wanaosimamia haya mambo inabidi walau (atleast) wawe na uwezo wa maono wa kizazi kimoja lakini badala yake hawa macho hayaoni zaidi ya tumbo, anayeona zaidi ni miguu! Na huyu ambaye vijana walimugeuzia macho yao anasema wazi kuwa 'bora chama kife kama sijawa M/kiti'.
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa 'mainjinia' wa usambaratishaji wa vyama hawajui hata kwa nini nchi ni masikini!

Punguzen jazba kama mnamtaka zzk mmtafute mtuondolee kiwingu.kwa vle zzk ni mavumbi na atarud mavumbini atake asitake ucmwamin zzk hujui anafanya au anafanywa nn sahiz zzk ni msalt mkubwa coz walioamua wana akl timamu ila ni wendawazi pekee hushabikia ujinga!
 
HOJA NZURI SANA.
mAYEMBA. BIG UP. ZITTO ANAITA HATMA YAKE MWENYEWE YA KISIASA. BAADA YA KUTIMULIWA ATALIA NG'WE NG'WE bila mkuona mtu wa kumsaidia. Kijana mdogo furikiri wa kibabe. Utoto nao matatizo. ukiona Punda wakati mwingine unadhani hakuna mwingine aliyewahi kumwona, ukijua a b c d wakati mwingine unaweza kuadhani ni wewe peke yako unayefahamu kusoma. ukasahau kuwa wengine wanafahamu mpaka e.f g. nasikitika na Zitto, umri mdogo ambaye angeweza kuwa mwanasiasa maarufu pengine katika siku za usoni. goodbye Zitto katika siasa za Tanzania.
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

Good analysis.

Swali moja muhimu ambalo Zito na wale wote wanaom-support wanatakiwa kuulizwa ni:

Je wako katika chama kwa maslahi yao binafsi au kwa ajili ya mamilioni ya watanzania wanaopigika kila siku?

His he bigger than the millions of Tanzanians who have no hope?

Shame on him.
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

Chadema haitakufa kwa neno lao, kwani chadema haikuanzishwa kwa neno lao

Chadema haitakufa kwa vitendo vyao, kwani Chadema haikuanzishwa kwa matendo yao

Chadema haitakufa leo wala kesho, maamuzi tuliyochukua ni maamuzi safi ya kuimarisha chama 2014 & 2015

Poleni MaCCM na MaZITTO wote
 
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?

Mshauri Zitto ajitoe,anazidi kujidhalilisha.Hana ubavu wa kupambana na Mbowe wala Dr.Slaa.Anajiita Msomi wakati Maono rahisi kama haya yanamshinda.
 
zitto mchango wake ndani ya chadema utafananiaha na nani? wengine hao vibaraka tu waende tu.....Always Zitto is the best

Waanzilishi wa Chama akiwemo Mzee Mtei ndio wenye Mchango mkubwa kwenye Chama.Na Mtei kashamwambia Zitto hana Nafasi ndani ya Chama.Napendekeza aende CCM akagombee Uenyekiti na Urais.
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

Wadau msomeni Zitto hapa:
http://www.jukwaahuru.com/kama-ulikuwa-huijui-hii-ndio-ripoti-ya-siri-ya-mwenendo-wa-zitto-kabwe-ndani-na-nje-ya-chadema-toka-mwaka-2008/
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

safi sana kamanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom