mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Zitto damu za watu waliouawa bila hatia na hao wanaokuhonga ili urudishe nyuma harakati za ukombozi zina kulilia.
kweli huyu msaliti kajiweka uchi anasema wapinzani hawafai kupewa nchi sasa mbon anang'ang'ania upinzani? Siaende huko wanakostahili kutawala milele?
Ni lini utaanza kujadili suala kupanda kwa bei ya umeme na maji.Rose Mayemba Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
Achana na mambo ya chama chetu, pilipili usizozila zakuwashiani?.Dada uko kwenye Perio.d nini au mimba inakusumbua? Kiongozi anayejiona yeye pekee ni MBOO.WE ambae kwa anagombania Uenyekiti kwa awamu ya 3 hii utadhani hakuna mwenye uwezo huo wa kugombea mambo hayo tushayazoea CUP kina Lipumba. Halafu ndio mnajiita chama cha Demokrasia, uchaguzi uliopita mlimwambia atumie busara na kweli hakugombea ss hiv anautaka mnamletea Zengwe.
Nimetoka kumdharau sana Tundu Lissu na wengine ambao ni wasomi Wehu inakuaje mtu form4 failure anawaburuza kiasi hiki na chama cha kiImla?
Majina yanamaana sana ndugu usithubutu kumpa mwanao jina la hovyo hovyo kama la huyu Snowden wa tanzania.Hivi huyu zito mbona sio msikivu au kichwa chake kizito kuelewa kama jina lake.