Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
yana mwisho haya
Ni wapi uchafu uliondolewa kwa ukuweka uchafu mwingine? Tunaondoa uchafu kwa kuufagia ili tubaki wasafi! Ww subiri tu kama kuna uchafu umebaki utajidhiri tu muda si mrefu na tutauondoa tu!! Napita mwana.
Ccm wametimiza adhima yao na zzk amejitia aibu kubwa sana. Pole zzk ulilewa sifa sasa umekinywea
Kwani nani mwingine mwenye mawazo ya maana chadema tofauti na zitto?Kweli kabisa Zitto ni mjinga sana tu kwani andhani ni yeye tu mwenye mawazo ya maana chadema na wala hakuna viongozi wengine wenye mawazo! Ataishia pabaya manake tumeshamshtukia jamani!
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,
Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.
LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...
Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .
CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.
WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
kwani mayemba ni wachaga?
Wachaga utawajua kwa uzi wanao uleta humu
ulipouliza mi ni mchaga wa wapi ulitarajia majibu gani?
Mtoto mzuri kama wewe haitakiwi uwe na majibu machafu kama LEMA.
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,
Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.
LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...
Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .
CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.
WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
Kuna watu humu Jf wanachekesha kweli yaani uwezo wao wa kuchambua mambo umekufa ile mbaya. Hakika hawa kweli ni misukule ya akina Slaa na Mbowe