Hapo kwenye nyukundu hapo! ni maneno tosha yanayozihilisha kwamba huyu jamaa alikuwa anatumiwa na CCM kuivuruga CHADEMA, maana anaposema "wapinzani hawafai kupewa nchi" maana yake ni kwamba si CHADEMA pekee, bali na CUF, NCCR Mageuzi, DP, na vingine vingi! kumbukeni kuna Mtanganyika mmoja alisema ZZK na Kafulila wametumwa kuharibu upinzani! si mnaona yanayotokea?kweli huyu msaliti kajiweka uchi anasema "wapinzani hawafai kupewa nchi" sasa mbon anang'ang'ania upinzani? Siaende huko wanakostahili kutawala milele?
We ni Mchaga wa wapi?tusubiri na ya kwako...
Nina nidhamu kwa chama changu..
Natambua uwepo wa kanuni,taratibu na miongozo iliyowekwa
demokrasia gharama kaka...
Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?
We ni Mchaga wa wapi?
kama kuondoka waondoke wote kuanzia Padre mzinzi Slaa mpaka malaya asie na aibu Mbowe
Ccm wametimiza adhima yao na zzk amejitia aibu kubwa sana. Pole zzk ulilewa sifa sasa umekinywea
kama kuondoka waondoke wote kuanzia Padre mzinzi Slaa mpaka malaya asie na aibu Mbowe
we ni mchaga wa wapi?
angalia hata usivyojua kusoma majina ya watu, ni mchaga wa lizaboni
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,
Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.
LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...
Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .
CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.
WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
Msukule baba akoNaichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?