Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Status
Not open for further replies.
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
Mwenye sifa za aina hiyo HAFAI HATA KUWA KIRANJA WA CHEKECHEA, HAFAI HATA KATIKA MFUMO WA VYAMA VINGI, KIFUPI HAFAI KUWA NA CHAMA CHOCHOTE AMA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE!
 
mkuu joel,, naona hiyo comment yako iko kijasusi sana, maana CDM watasema ni ZZK na wenzake.. ila mimi kwa mtazamo wangu ni wana-CDM wenyewe wanaua chama chao.

namaanisha nini ZZK ni mbunge kupitia CDM kigoma, anawashutumu wana CDM wenzake suala ni demokrasia ndani ya chama na wana-CDM wenzie wanamshutumu ZZK suala ni USALITI.
Kesi iko mahakama kuu wakili wa ZZK ni MSANDO kutoka CDM (tena diwani) kwa hiyo hapa tunapata picha kumbe hata MSANDO Halidhiki na hili, mwishoni tunaona kuna wengi wako kimya wanamawazo kama ZZK Ndani ya CDM.
MWIGAMBA alikuwa mwenyekiti wa chama ngazi ya mkoa, akashutumiwa na wana-CDM suala ni USALITI yeye anasema alikuwa akipigania demokrasia.
Marehemu chacha wangwe (rasta) alikuja na mawazo kama ya ZZK akaitwa naye msaliti akaenda zake.
KAFULILA,kabourou, arfi walikuwa wana -CDM wengine hadithi ni ileile kama ya ZZK.
Hawa wote ni wanachama ndani ya CDM, sio kutoka chama kingine.

CCM kama adui wa CDM hawezi kuwa salama kama adui yuko fit (tunasema adui mwombee njaa), hatutakiwi kuishutumu CCM katika hili ila kinachotakiwa CDM ni kumaliza shida yao na wao wamwombee njaa adui (CCM).

NI MTAZAMO TU.

Habari na Uchambuzi Yakinifu - KAMA ULIKUWA HUIJUI: hii ndio ripoti ya siri ya mwenendo wa Zitto Kabwe, ndani na nje ya CHADEMA toka mwaka 2008
 
Ukitaka kuona game la politics tamu, ambaye anataka kura 2015 achukue hatua sasa wakati system imekaa ovyo. Chama kikitokea pinzani kingine kianze na sera za mapinduzi waje na kampeni za kumwaga na kasi za ajabu bungeni na uchapa kazi wa kweli hao ndio watachukua kura 2015.. this is the time watu kuona errors ambazo jamaa wamefanya na kuja na kasi mpya kushinda hii ya CDM, sasa jamaa mnampondea, viongozi waliobaki nao mnawapondea, waondolewe mtabaki na chama sasa bila kiongozi sasa ndio nini hicho?
 
[/COLOR]KAKA,,, hakuna siasa TANZANIA nimefuatilia siasa toka enzi za NCCR, TLP,CUF-NGANGALI, na sasa CDM nitachoona mimi ni njaa tu. na siku zote kama hauko makini njaa huleta unafiki. na CCM wanawin kwenye hili la njaa na unafiki uliopitiliza.
kutegemea wanasiasa kama waokozi wa TANZANIA ni suala ambalo haliwezekani, hakuna popote africa hili limefanikiwa.

SULUHU; ni wananchi (WATANZANIA) kujiongoza wenyewe kwa maana ya wote au wengi kuwa na akili moja ya
uzalendo, kama kiongozi katia hasara au kashindwa kuwa mzalendo kwa manufaa ya wote au wengi basi
inatakiwa tumuadhibu sisi wenyewe wananchi popote tumuonapo (iwe kwa mawe au fimbo, aadhibiwe kama
mwizi wa cheni manzese).

MWISHO; SIASA NA WANASIASA HAWAWEZI KUITOA TANZANIA KWENYE HILI TOPE GUMU, NGUVU YA UZALENDO BILA
MWANASIASA INAHITAJIKA.
natamani kama kila mtanzania angewaza kama wewe! kamwe watu wasingepigana kwenye viunga vya mahakama na kuumizana kwa sababu ya hawa wanasiasa wetu, na kamwe msamiati wa VIFARANGA NA MAMA ZAO usingezaliwa katika medani za siasa zetu.
we are beatten, and we cant resist the pain
 
Rose Mayemba Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama

Haya, wataondoka woote unataka waondoke ubaki wewe na Zitto wako. Umesikia mtoto mzuri
 
Last edited by a moderator:
Rose Mayemba Nina mashaka makubwa na uwezo wako wa kufikiri. haya ni madhara ya kunywa gongo kupita kiasi

Binafsi nashindwa kabisa kuwaelewa baadhi ya watu wanaoshindwa ustahimilivu na kushindana kwa hoja na badala yake kuamua kuwatukana wenzao wenye mawazo tofauti na yao!
Kwa nini usijibu hoja kwa hoja hadi kumtukana mwenzio? Unataka dunia nzima ifikiri namna yako?
Kumbuka hata Mungu ameruhusu mtafaruku wa mawazo, sembuse wewe? Jifunzeni kuwa wastaarabu!
 
Last edited by a moderator:
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?[/QUOT

E

Utaipendaje CDM mkuu wajati inatishia kukata mirija ya ufisadi wenu?. Hapo lazima uichukie kuliko chochote duniani kwani imeleta kifo cha CCM na wtu hamlali usingizi.
 
Ushauri wangu kwa CDM ni kuweka mambo hadharani yanayohusu USALITI kama vile ilivyokuwa mambo ya Mwembeyanga na hapo ndo watanzania tutapata kujua ukweli juu ya sakata hili. Weka mambo hadharani!
 
Rejea maneno ya mchungaji wenu wenyewe "akili ndogo inaiongoza akili kubwa" haya maneno ni ya kweli na ndio yanaivuruga cdm.
 
Ha ha haaa, @Rose Mayemba, inaonekana kesi ya ZZK imewachanganya sana, manake wana CDM kila mtu anajitahidi kuanzisha thread ya kumtusi!!
 
CHADEMA Sio Zito itadumu kuwepo bila Zito

Sasa mnacholia lia na kuanzisha thread nyiingi za matusi na kejeli ni za nini??

Mimi naona ni bora mpuuze mambo ya ZZK na mjikite kuimarisha chama, manake M4C kwa sasa hamna, mmekomaa na issue ya Zitto tu, mnakera sana!!!,
cc: Rose Mayemba
 
unaongelea madabiliko yepi? yakuondoa ukomo wa uongozi kwanye katiba ya chama kinyemela? yakupiga watu na matofali? au kuzushia watu kuwa ni wasaliti na kuwatuana kwenye mitandao? you can't be serious.

Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
 
Amen na iwe hivyo. Big up

Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
 
Rose Mayemba Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
Huyo Zitto yuko tayari kuleta vurugu za kudhoofisha chama kuliko yeye kuachia uanachama.
Atamdanganya nani kuwa anaipenda CHADEMA?
 
Yaani wewe ndo umechelewaaa!!!

Hii taarifa ya kitaambo na CDM walishaikana tena mbele ya Waandishi wa habari?? Au mwenzetu ulikuwa jela nini??
Labda mkuu hukuwaelewa Chadema makao makuu, walichokana ni kwamba waraka huo haukutolewa (released) na makao makuu, ila hawakukana kwamba yaliyoandikwa humo ni uongo. Kwa hiyo ukweli wa waraka/taarifa hiyo unabaki palepale na uliandaliwa na kitengo cha yjasusi Chadema.
 
Chadema italinwa kwa mkono wa chuma hakuna atakayekubali wazandiki wasaliti na vibaraka wa watawala waue chama kwa manufaa ya watawala na wake zao na watoto wao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom