Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Status
Not open for further replies.
tatizo CDM ni dogo sana, kwa usalama wa chama ni vyema mbowe na zito wakae meza moja wazungumze kwan kilochopo sio usaliti wala nn, ni zito kutaka haki sawa na mbowe kutaka kuendelea kuwa mwenyekiti! maamuzi magumu sio kumtoa zito CDM ni kuwatoa wote coz kuna makundi mawili ya zito na mbowe kwa kuwatoa hawa Haya makundi yataungana kujenga chama au wote warudi wayaunge makundi yao wafanye kazi pamoja kwa ajili ya nchi na sio chama!
chama kitakufa lakini TANZANIA haitakufa daima!
 
Jimboni kwake ana diwani mmoja tu........alafa ana jiona yeye ndio chadema, huu ni uwenda wazimu,
 
Jimboni kwake ana diwani mmoja tu........alafa ana jiona yeye ndio chadema, huu ni uwenda wazimu,

Lissu pia Jimboni kwake kuna diwani mmoja tu wa CDM wengine wote ni CCM! Basi Kama ZZK ni mwendawazimu kwa kuwa na diwani mmoja na Tundu Lissu ni mwendawazimu kwani nae diwani ni mmoja tu!

CDM kuna wabunge wengine hawana base kabisa waliingia bungeni accidentally! Jengeni chama CDM malumbano hayafai!
 
Rose Mayemba Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama

kweli chama cha kidini kichaga sijui Zito anangangania cha nini. Aliweka hisa nini mle anaogopa akiondoka kirahsis zitapotea.
 
tatizo jamii kubwa ya dini yamsaliti zzk elimu ndogo,ukiangalia hata pale mahakamani utawaona kabisa walivyolalia upande wa dini kuliko hoja yamsingi iliyomtoa zzk cdm!watuwamebaki kusema cdm yawachaga,vp wabunge2 mbeya nawao wachaga?cdm itabaki hata nawanachama wawili waaminifu kuliko wasaliti kama zzk!
 
CDM bado wasaliti hawajamalizika kwani mtu yeyote anaye wapinga mawazo yenu au ya Mbowe au Slaa basi msaliti!

Chama hakiendeshwi kwa misingi ya ghiriba na ulaghai hata Mara Moja! Sasa Mbowe anajua over 70% ya wajumbe wa baraza kuu ni supporters wa ZZK ndio maana hataki kwenda baraza kuu!

Na tutayasikia mengi sana Baraza Kuu na hakika ndio utakuwa mwisho wa CDM. Hilo baraza litakuwa la vita Kali na vionjo vingi tusubiri! ZZK aliangalia mbali sana kutengeneza influence baraza kuu kwa kiasi kwamba Mbowe anahofu sana na Baraza Kuu!
 
Kama mnabaguana kwa misingi ya DINI na UKABILA kwani kuna kificho? Naogopa sana ZZK akianza kuhubiri Hilo kwani madhara yake ni makubwa sana!

CDM mmezidi kubaguana ndugu yangu! Sie ni wamoja na makabila na rangi zetu zimeketwa ili kufahamiana tu na sio kubaguana
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

Laana hizi zimfikie Zitto Zuberi Kabwe leo leo.
 
..

...nasikia anakwenda mwanza "kutumika" tena....

Siyo mwanza tu anamalizia ile mikutano yake ya awali aliyokaipanga! ZZK ni zaidi ya Mbowe na Slaa!

Nasikia Tabora ndio itakuwa balaa haijawahi kuonekana! Tunamsubiri kwa hamu Singida tena aje na Mwana wa pakaya Dr Mkumbo!
 
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?

Uko sahii kaka, chama cha ukabila hakina manufaa kwa Taifa, kwani ni sawa na vile vyama vya makaburu wa South Afrika.
 
CDM tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,hakuna mpango wa wasaliti utakaofanikiwa haya yanayotokea sasa ni mawimbi tuu lakini Cdm itavuka salama na itakuwa imara zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom