Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Status
Not open for further replies.
nina wasiwasi tunaanza kuwa na gundi ubongoni
 
Kwa kukumbatia udini, ukanda na viongozi wahuni, Chadema ilishakufa siku nyingi sasa kinachofanyika ni mazishi tu.
 
Hakika mkuu. Chadema wanakaangana chadema wenyewe
We LIZABONI unatuabisha sisi watu wa Lizaboni Songea huku hivi baada ya kufa Diwani Manya wa lizaboni kwa ticket ya ugambani wanalizaboni walimchagua nani vile kwa kishindo kutoka........?Ukitoa jibu sahihi ndio utakuwa umepata angalau akili kidogo propaganda zenu na wasiliti wenu hakuna aliyetimamu asiyezigundua
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.

We shabikia tu, bado zamu yako!
 
Wow! what kind of good thread! Rose, you have made my day. May God Almighty hear our prayers! CDM will not die but individuals within the party will die.

By the way, kuna kichaa mmoja humu kwenye hii thread nikama amepagawa ( kavamiwa na mapepo baada ya kumkemea). Anachangia mawazo mfu na anajifanya thread kaianzisha yeye. Ama kweli magamba na chama lao wanaendeshwa na mapepo. Huwezi kuvamia thread nzuri hivi ovyo! ovyo! Ushindwe kwa Jina la Yesu.
 
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania
HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
Dada Rose..Hii msg yako imegusa vilivyo..hata wasaliti wote wakiisoma itawaacha uchi..Namwomba Mungu ili awape ufahau..maana naona wachangiaji wengi wanaendeshwa na nguvu ya pepo( na pepo lenyewe ni rushwa...buku 7)akishapokea anajisahau hata Tanzania ya kesho itakuwaje...
 
Sasa mbona mnamhofia mtu ambaye mmeshatangaza hana impact/madhara kwenye chama?
Najiuliza mara kumi kumi
 
We LIZABONI unatuabisha sisi watu wa Lizaboni Songea huku hivi baada ya kufa Diwani Manya wa lizaboni kwa ticket ya ugambani wanalizaboni walimchagua nani vile kwa kishindo kutoka........?Ukitoa jibu sahihi ndio utakuwa umepata angalau akili kidogo propaganda zenu na wasiliti wenu hakuna aliyetimamu asiyezigundua
Kwa hiyo unataka tujadili kuhusu marehemu? Au hoja hii inahusu uchaguzi wa udiwani kata ya Lizaboni? Pole sana Mkuu. Rudi kwenye mada
 
tusubiri na ya kwako...
Nina nidhamu kwa chama changu..
Natambua uwepo wa kanuni,taratibu na miongozo iliyowekwa
demokrasia gharama kaka...
Wewe dada. Taratibu gani za kuvuana uanachama kiholela?
 
Msimamo wa Zitto naukubali. Kwani hata hao waliobaki si wasafi. Kama kuondoka na waondoke akina Mbowe na Slaa ambao wamenajisi chama
gamba mkubwa wewe, mijitu mingine ina akili za ajbu sana sijui familia yako ipoje wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom