Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

Status
Not open for further replies.

Rose Mayemba

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
721
Reaction score
1,017
Haya ni mawazo ya kila asiye na mapenzi kwa nchi yake,
Nchi inayosaka mabadiliko ya kweli,
nchi ambayo wananchi wake wana umasikini uliokidhiri,
nchi ambayo wananchi wake wanauwawa na wengine kuteswa bila hatia kwa sababu ya kudai haki zao,

Haya yyote yametokea na tumeyashuhudia,
Ila wapo watanzania ambao wako tayari kulinda maslahi yao si wa umma.

LAZIMA WAMETUMWA...
Si rahisi kwa mzalendo wa nchi hii na anayejua ni namna gani watu wametoa sadaka uhai wao ili kuipigania Tanzania kuwa tayari kuwaangamiza wengi kwa maslahi ya tumbo lake..

HAIWEZEKANI...

Eti sitaondoka kama walivyofanya wengine, NI KWELI usiondoke ila amini tu kwamba hakuna mpango wako wowote utakaoukamilisha, mwombe MUNGU sana, kuna damu inakulilia, msaliti usiye na hata chembe ya huruma kwa wahangaikao, Kiongozi unayedhani ni wewe tu mwenye mawazo mbadala ya kuikomboa Tanzania .

CHADEMA NI IMARA KULIKO UIMARA WENYEWE..
POLENI SANA WASALITI..
POLE SANA WADHAMINI WA WASALITI..
HAKUNA WA KUUZIMA MOTO HUU..
MLIZOEA VYA KUNYONGWA MJIOKOTEE.

WALAANIWE WOTE WENYE NJAMA ZA KUIVURUGA CHADEMA.
NA WALAANIWE WOTE WASIOITAKIA MEMA TANZANIA.
 
Kuna watu humu Jf wanachekesha kweli yaani uwezo wao wa kuchambua mambo umekufa ile mbaya. Hakika hawa kweli ni misukule ya akina Slaa na Mbowe
 
kuna misukule imegeuza jf kuwa jukwaa la kutafutia wachumba. mada kama hii iwekwe jukwaa la mahusiano na mapenzi sio jukwaa la siasa
 
Rose Mayemba Nina mashaka makubwa na uwezo wako wa kufikiri. haya ni madhara ya kunywa gongo kupita kiasi
 
Last edited by a moderator:
Rose Mayemba heri wanaolitambua hilo kuliko wanaopokea fedha na kujidhalilisha wenyewe huku wakidhani wanawadhalilisha CDM.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe kilaza unapenda ustawi wa cdm!?
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?
 
kweli huyu msaliti kajiweka uchi anasema wapinzani hawafai kupewa nchi sasa mbon anang'ang'ania upinzani? Siaende huko wanakostahili kutawala milele?
 
Naichukia chadema hata ukinipa bure siwezi kuichukua. Nawashangaa kama akina Zitto wanajipendekeza. Hili chama la kichaga bora life tu. halina faida kwa ustawi wa taifa hili. Chama gani lina wafuasi misukule?

Sasa mbona mnamtetea sana huyo zitto aendelee kuwepo cdm... sisi mumchukue ili cdm ife
 
Ccm wametimiza adhima yao na zzk amejitia aibu kubwa sana. Pole zzk ulilewa sifa sasa umekinywea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom