Ni asili ya Uislaam kutii mamlaka ila sio uchawa

Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.

Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.

Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...

Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...

YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."

Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Huko kwenu ndipo ibirisi mashetani pepo zote wanaishi kwani kuna upumbavu wa kutisha sana, mfano sasa mfano sasa mmejotoa fahamu zote kwa Ufala wenu mnataka kuleta UDINI kwa njia haramu za kishetani, watanzania siyo wapumbavu kama nyinyi chawabakwata tawi la ccm, watanzania wanajua utekaji hauna Dini walotekwa ni kila Dini, Bakwata acheni ufala
 
UCHAMBUZI WA KINA :

Uislamu upi huo? Wasiofanya mapinduzi, mabadiliko, vuguvugu, uchaguzi ? Ni wa Muslim brotherhood, Sunni, Shia au Sufi wa Abu Dhabi n.k ?

Maana tunaona Muslim Brotherhood kule Egypt, Sudan walikuwa wachochezi wa Arab spring revolution kupinga watawala waliopo madarakani na kusababisha madikteta wa Tunisia, Egypt kupinduliwa na demokrasia ya kiislamu inayohoji mienendo ya watawala kuhojiwa, kupingwa kwa maandamano, kuchagiza uchaguzi n.k

Wakati maSufi wa kule Abu Dhabi, UAE Emirati 7 zinafanya juhudi zote kufanya raia wasishiriki katika siasa, wasihoji, wasifanye midahalo kwa kifupi Sufi hawataki uchaguzi wowote bali familia ya watawala ndiyo wataamua nani arithi uongozi bila raia kushirikishwa

Tukienda nako Tehran Iran waislamu Mashia wanafanya siasa, wanafanya uchaguzi, wanafanya mapinduzi kuondoa watawala au kungoa mfumo wasioutaka .

Tukienda kule Bangladeshi tuliona nchi hii ya Sunni watu wakiandamana na kumtimua waziri mkuu kutoka Ikulu akakimbia nchi.

Pia nchini Pakistani nchi yenye Sunni wengi kuna vyama vingi, watawala hupinduliwa siasa za vyama vingi vikishindikana kuwa huru. Watawala wa zamani hufunguliwa mashtaka na kutupwa jela baada ya kuondolewa kwa nguvu ya umma Ikulu n.k

Hapa jirani Sudan nchi ya kiislamu pia wanazichapa wenyewe kwa wenyewe hata kama kuna mtawala ili wamuondoe wafanye mabadiliko.

Na nchi jirani ya kiislamu ya Zanzibar walifanya mapinduzi matukufu 1964 kumng'oa Sultani, ambaye baadaye alipewa ukimbizi kwa siku kadhaa katika nchi ya Tanganyika akapewa jumba Oysterbay jijini Dar es Salaam akisubiri taratibu za ukimbizi kukamilishwa aende Uingereza.
Sudan Afaganistan ndipo uislam umedhihirisha mambo ya hovyo sana kule Dafur wanafanya vitendo haramu vya kishetani
 
Mashehe wanaogopa kukemea utekaji wanamtuma ponjoro Abas Tarimba anayefanya biashara haramu za kamali akamchochee Mkoloni kaburu ibirisi mama iddy Amin dada toka Zanzibar awaonee watanganyika kwa kuwabambikia kesi kuwateka kuwaua kufungia makanisa na vitendo haramu vya kishetani toka chawabakwata makao makuu ya wanafiki
 
Kwani utajuaje umetii mamlaka?

Na utajuaje pia hujatii mamlaka?

Mamlaka ikikosea inabidi nini kifanyike?
 
Niwekee quotation kutoka ndani ya quran mambo ya msikilize shekhe flani hatutaki
Waislam wanatii mamlaka waibe pesa za walipa kodi, wanatii mamlaka iwabambikie watu kesi za uongo, wanatii mamlaka kwa kuwatuma waende kufunga kanisa la Gwajima kwa njia haramu za kishetani
 
Bakwataccm wao wanatii kila baya la ibirisi wa ccm, wanatii maovu yote ya ccm kuna ushetani wa kutisha huko kwa wanafiki
Maana ninajua mamlaka hizo zinakosea sana tu sasa atueleze mamlaka ikikosea nini kifanyike zaidi ya kukosolewa.?
 
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.

Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.

Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...

Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...

YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."

Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Hivi kuna watu wanafiki kama waislam, nauliza tu kutolana na nionavyo?
 
Unayoongea ni kinyume kabisa na tawala za Kiislam hapa düniani.
 
Toka lini?
 
Hao wafalme almost wote wa uarabuni waliingia madarakani kwa kuwang'oa wafalme wengine kibabe. Hapo imekaaje?
 
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.

Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.

Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...

Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...

YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."

Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.

Unaijua Arab spring?

Unayajua mapinduzi ya Iran?

Mapinduzi ya Zanzibar je?

Struggle za akina Abishiri bin Sultan Je?

Wote hao ni waislamu je walitenda dhambi?
 
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.

Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.

Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...

Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...

YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."

Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Unaongea alafu unajipinga. Sasa Kama umeambiwa kutii mamlaka uwe ya halali au siyo ya halali. alafu hapo unasema amatakiwi kutii Jambo linalohusu kumuasi Mungu. Kuuwa kuteka na kutesa kulawiti ni mambo yanayomoendeza Mungu?. Je huo siyo uasi mbele za Mungu?.
Kwa dunia ya Sasa uongozi mwingi upo mamlaka za KISHETANI. Ukitii kila Jambo utatii sana Shateni.
KINACHOTAKIWA MUNGU APETUPA KUJUA MEMA NA MABAYA UKIONA JEMA TII UKIONA LA UASI KATAA.
Mimi siwezi kutii kila kitu.
Siku hizi mamlaka nitakuja kutaka tuziabudu.
 
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.

Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.

Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...

Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...

YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."

Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Maelezo marefu yamekaa Kitapeli nenda kajielimishe kuhusu hadhi na Mtume Mohamed SW kuhusu haki kuipigania haki kwa Muislamu ni ibada Shekhe
 
Hata kanisa asili yake ni kuhubiri neno la Mungu, sio kufanya uzinzi na kujirekodi video za namna unavyo tumia kanisa kufanya ufuska 🐒
 
UCHAMBUZI WA KINA :

Uislamu upi huo? Wasiofanya mapinduzi, mabadiliko, vuguvugu, uchaguzi ? Ni wa Muslim brotherhood, Sunni, Shia au Sufi wa Abu Dhabi n.k ?

Maana tunaona Muslim Brotherhood kule Egypt, Sudan walikuwa wachochezi wa Arab spring revolution kupinga watawala waliopo madarakani na kusababisha madikteta wa Tunisia, Egypt kupinduliwa na demokrasia ya kiislamu inayohoji mienendo ya watawala kuhojiwa, kupingwa kwa maandamano, kuchagiza uchaguzi n.k

Wakati maSufi wa kule Abu Dhabi, UAE Emirati 7 zinafanya juhudi zote kufanya raia wasishiriki katika siasa, wasihoji, wasifanye midahalo kwa kifupi Sufi hawataki uchaguzi wowote bali familia ya watawala ndiyo wataamua nani arithi uongozi bila raia kushirikishwa

Tukienda nako Tehran Iran waislamu Mashia wanafanya siasa, wanafanya uchaguzi, wanafanya mapinduzi kuondoa watawala au kungoa mfumo wasioutaka .

Tukienda kule Bangladeshi tuliona nchi hii ya Sunni watu wakiandamana na kumtimua waziri mkuu kutoka Ikulu akakimbia nchi.

Pia nchini Pakistani nchi yenye Sunni wengi kuna vyama vingi, watawala hupinduliwa siasa za vyama vingi vikishindikana kuwa huru. Watawala wa zamani hufunguliwa mashtaka na kutupwa jela baada ya kuondolewa kwa nguvu ya umma Ikulu n.k

Hapa jirani Sudan nchi ya kiislamu pia wanazichapa wenyewe kwa wenyewe hata kama kuna mtawala ili wamuondoe wafanye mabadiliko.

Na nchi jirani ya kiislamu ya Zanzibar walifanya mapinduzi matukufu 1964 kumng'oa Sultani, ambaye baadaye alipewa ukimbizi kwa siku kadhaa katika nchi ya Tanganyika akapewa jumba Oysterbay jijini Dar es Salaam akisubiri taratibu za ukimbizi kukamilishwa aende Uingereza.
Weeengi wamecomment chuki na hii inafungua mazito yaliyopo vifuani mwao.
Ila wewe kidogo umekuja kwa hoja na unataka majibu.
Hayo yote uliyoyataja MAPINDUZI, ARAB SPRINGS, na hivyo vinginevyo vyoooote ulivyotaja ikiwa wewe ni muislamu unapaswa urudi katika asili je yamefundishwa wapi kwenye Quran na Sunnah au Wanachuoni wetu wameelewaje hizo kanuni za kisheria je ni sahihi..
Tunaweza kujadili kila nchi na hayo yaliyofanyika na kuyatia kwenye mizani ya kiislamu utakuta ni mashariki na magharibi havihusiani kabisa na dini yetu.
Cha kuzingatia kwetu kama waTz si kuishi kimihemko ya wanaharakati na wanasiasa ambao wanapigania matumbo yao ambao leo na kesho watakugeuzia kauli na huna cha kuwafanya turudi kwenye kuusoma uislamu ili tupate kusimama kisawasawa.
 
Maelezo marefu yamekaa Kitapeli nenda kajielimishe kuhusu hadhi na Mtume Mohamed SW kuhusu haki kuipigania haki kwa Muislamu ni ibada Shekhe
Ili uhesabike unaipania haki kiislamu yapaswa jambo liwe na sifa zipi tuanze na hapo mkuuu...
 
Back
Top Bottom