Ni adhabu Gani uliyowahi kupewa ukiwa shuleni mpaka ukatamani upigwe yaishe

wakati tupo kidato cha 3 walikuja ajira mpya walimu wawili wakike pale shule asee zilikuwa na pisi zilizonyooka mno, Sasa katika story zetu kama wanafunzi si nikawaambia wana kuwa lazima madam (nancy nickname) nimle kabla sijamaliza.

Si kuna snich akaenda akachoma asee nliitwa staff afu yule best yake madam nancy akasema haya kidume anza kututongoza we si unawatambia wenzake lazima ulale na sisi? (huyu madam alikuwa mnoko na anakiherehere kuliko mlengwa)

Wakuu ile staff nliiona kubwa mno yaan nliomba wanchape yaishe, maana yule madam alkua anaongea shombo sana mixer kujibenunua mbele pale nipo nae then walimu wote wapo wanaangalia kama wapo chumba cha sanaa ya maigizo ukijulmsha Ma mdogo nae alikuwa ni jopo la walimu basi ilikuwa ni fedheha sana moyoni mwangu. Though adhabu ilipitishwa ila lengo pia lilitiki apo bdae.
 
Kuna madarasa yalikuwa yanaongezwa adhabu ya mwanafunzi ilikuwa kubeba mchanga yani, yale madarasa wanafunzi wamehusika kujenga kwa asilimia 60
 
Umaskini mbaya sana, shule zote zenye adhabu kali, ni shule hizi za serikali a.k.a st likud, huwezi Kuta mtoto anaesoma feza, ism, ist, braeburn anapewa adhabu za kuchapwa fimbo 50, kuruka kichura chura, au kuchimba visiki kama mpo jkt, kuna shule zingine nlisikia mtoto asipoenda na tsh 200 ya chakula shuleni anachapwa.

Yani ni kama mtoto anaadhibiwa kwasababu ya umaskini wa mzazi wake, kwa kisingizio kuwa mtoto kafanya kosa.

Very sad.
 
Swali,

Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?

Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
 
Nilisimamishwa masomo mwezi wa nne nkaambiwa niende siku ya mtihani wa Mock na NECTA nlikaa mtaani wiki moja tu nikarudi shule.

Sababu.
Tulifanya kosa nje ya mazingira ya shule watu wanne ila mi ndo nliyezingua parefu zaidi na nkaonekana, Second master alijua akanambia nitaje wenzangu nikamute, akanidaka na kosa lingine ndani ya mazingira ya shule akanipa adhabu kubwa ambayo haiendani na kosa mi sikufanya walimu wakakaa kikao wakaja na maazimio yao.
 
wakati tupo kidato cha 3 walikuja ajira mpya walimu wawili wakike pale shule asee zilikuwa na pisi zilizonyooka mno, Sasa katika story zetu kama wanafunzi si nikawaambia wana kuwa lazima madam (nancy nickname) nimle kabla sijamaliza.

Si kuna snich akaenda akachoma asee nliitwa staff afu yule best yake madam nancy akasema haya kidume anza kututongoza we si unawatambia wenzake lazima ulale na sisi? (huyu madam alikuwa mnoko na anakiherehere kuliko mlengwa)

Wakuu ile staff nliiona kubwa mno yaan nliomba wanchape yaishe, maana yule madam alkua anaongea shombo sana mixer kujibenunua mbele pale nipo nae then walimu wote wapo wanaangalia kama wapo chumba cha sanaa ya maigizo ukijulmsha Ma mdogo nae alikuwa ni jopo la walimu basi ilikuwa ni fedheha sana moyoni mwangu. Though adhabu ilipitishwa ila lengo pia lilitiki apo bdae.
hapo kwenye lengo kutimia , ebu leta stori yake
 
Tupe story Tumalizie lengo Mkuu
 
Hiyo ndo tofauti Kati ya ngozi nyeupe na manyani yenye roho mbaya
Imagine mpaka wazazi zamani mtoto akikosea kitu nyumbani ananyimwa chakula
mtoto kakosea swali shuleni badala asaidiwe kuelewa anapewa adhabu kama kumkomoa yaani enzi hizo tunakula fimbo za mgongoni mpaka nakumbuka shati la shule lilikuwa na alama za fimbo mgongoni mpaka leo nina alama mgongoni yule mwalimu alikuwa akikuchagua usimame kujibu swali la hesabu ukikosea tu unakula viboko nane vya mgongoni kama mwizi!
Hapo nilikuwa darasa la tatu na ule umri mdogo sometimes Ile hofu inapelekea unakosa kujiamini hata kama swali ni jepesi unajikuta unababaika kujibu unakosea tu!
Halafu eti juzi kuna mwalimu mmoja mstaafu aliyewahi kunifundisha enzi hizo(huyu aliwahi kunizaba Kofi moja nikaanguka na kuzimia)
Sasa tuna miaka mingi hatujawahi kuonana then juzi tumekutana hapa Dodoma kama bahati tu alikuwa anapita vibanda vya jirani na hapa ninapouzia majeneza nikamwona ikabidi nimsalimie akanikumbuka vizuri
Nilimkaribisha kwenye banda langu ili aone kama zile fimbo na makofi aliyokuwa ananipiga shuleni yalisaidia nini ikiwa leo hii nimeambulia kuwa muuza majeneza.
Niliwaza nimpe hata jeneza moja Bure kama shukrani ya vile vipigo na adhabu za kijeshi ila nikaona nikaushe tu maana hata hivyo umri wake ushasogea najua hachukui muda atachomoka maana alinambia amekuja Dodoma kwa matibabu
kuna jamaangu kasoma uingereza aliniambia ukiwa mwanafunzi hata ukikosea swali unapongezwa

unaambiwa make sure next you did well.
 
Kuzaliwa Africa ni laana
 
Swali,

Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?

Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
Kwa asilimia kubwa adhabu za kipuuzi za kikatiri zimesababisha watu kuwa makatiri na kuwa wenye hasira Kali sababu ya yale mateso waliyopitia
Hebu fikiria mzazi alikuwa anakupa adhabu ya kunyimwa chakula kisa umevunja glasi au umeibiwa daftari shuleni
Bado huko shuleni mwalimu kakuchapa viboko kumi vya mgongoni kisa umeshindwa kuimba tebo ya nane😀
Hapo unategemea ukikua mtu mzima akili itakuwa timamu?
Ndo maana hii nchi imejaa makatiri na wenye roho mbaya sababu ni malezi ya utotoni
 
Swali,

Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?

Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
Kwa asilimia kubwa adhabu za kipuuzi za kikatiri zimesabbabisha watu kuwa makatiri ma kuwa wenye hasira Kali sababu ya yale mateso waliyopitia
Hebu fikiria mzazi alikuwa anakupa adhabu ya kunyimwa chakula kisa umevunja glasi au umeibiwa daftari shuleni
Bado huko shuleni mwalimu kakuchapa viboko kumi vya mgongoni kisa umeshindwa kuimba tebo ya nane😀
Hapo unategemea ukikua mtu mzima akili itakuwa timamu?
Ndo maana hii nchi imejaa makatiri na wenye roho mbaya sababu ni malezi ya utotoni
 
kuna jamaangu kasoma uingereza aliniambia ukiwa mwanafunzi hata ukikosea swali unapongezwa

unaambiwa make sure next you did well.
My former boss kaishi huko uingereza ukikosea anakuambia nijibu hivi,

Next time i would do the best than today!!

so ukikosea ukimwambia hivyo anatulia na pressure inashuka
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza

Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe

1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika

Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi

Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza kuwapiga Cha kufanya chukueni hii ndoo

Akatupatia ndoo ya Lita ishirini, Kisha akasema, pangeni mstari mmoja akae kule bombani (Bomba la maji) na mwingine akae huku mwisho karibu na ndoo

Sasa zoezi lililokuwepo ni unakinga maji kwa mikono yote miwili Kisha unampatia mwenzako na yeye anampatia mwenzake yeye Tena anampatia mwenzake hivyo hivyo mpaka ndoo ijae

Changamoto iliyokuwepo ni kwamba unakinga maji kitendo Cha kumpatia mwenzako tayar mengine yamemwagika yamebakia machache

Nakumbuka hiyo siku wengi tulilia mpaka mwalimu akaja kutusamehe

2) Nilipewa swali nikakosea jibu basi yule mwalimu alivyokuwa katili akaniambia weka miguu juu kichwa chini halafu pale chini akaweka jiwe Ili kama nikichoka na nikadondoka basi kichwa kidondokee lile jiwe sitosahau

3)Nilipitiwa na usingizi wakati wa kipindi baada ya kuniona akaniita akaniambia chukua ndoo hii hapa

Zoezi lililopo hapo ni unaenda unachota maji unakunywa halafu unatoka unakimbia Yale maji unayatemea kwenye ndoo

Changamoto ni kwamba ndoo ilikuwa mbali kiasi kwamba ukija kuifikia Ile ndoo tayari Yale maji umeshayameza
Inabidi urudi Tena. Siyo Siri nilitamani kulia

Ila shule basi tu
Niko Minaki Sec. Form 5 and 6.
Kuchimba VISHIKI, kisa? Nimemiss roll call!
Wauji kabisa wale!
 
Umaskini mbaya sana, shule zote zenye adhabu kali, ni shule hizi za serikali a.k.a st likud, huwezi Kuta mtoto anaesoma feza, ism, ist, braeburn anapewa adhabu za kuchapwa fimbo 50, kuruka kichura chura, au kuchimba visiki kama mpo jkt, kuna shule zingine nlisikia mtoto asipoenda na tsh 200 ya chakula shuleni anachapwa.

Yani ni kama mtoto anaadhibiwa kwasababu ya umaskini wa mzazi wake, kwa kisingizio kuwa mtoto kafanya kosa.

Very sad.
Halafu tunashangaa kwanini watu wakatili 😅
Kwanza hizi adhabu zinatengeneza uoga na sio nidhamu, na zinaleta watu waonevu yaani na yeye anatafuta mnyonge wake alipizie.
 
Swali,

Je adhabu hizo zilikubadilisha kitabia au ziliwabadilisha tabia wanafunzi wote waliopewa hizo adhabu?

Kulikua na matokeo yeyote mazuri kutokana na adhabu hizo?
Sina uhakika kama zilinibadilisha

Kwan kabla hata ya hizo adhabu nilikuwa na namba nzuri darasani

ila Kuna namna flani zilinijengea picha mbaya na Hali ya uoga hasa pale napotaka kwenda shuleni

Wanafunzi wengine miongoni mwa hao tuliokuwa nao waliacha shule kwa kuogopa adhabu kama hizo
 
Upo sahihi kabisa Mkuu,moja ya athari za adhabu kwa mtoto,ni kumtia mtoto uoga fulani,kutokujiamini na kukosa Self confidence,
wengine hali hii huwaathiri mpaka ukubwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom