NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwa
Hizo hospitali ni mali ya baba yenu ?
Mfuko umefirisika kwa kuendeshwa na majitu akili za mavi
NHIF wameshindwa hata kulipa wasambazaji wa vifaa tiba , ni upuuzi kufanya mambo kisiasa ,ccm ni mbwa kabisa
Halafu mpumbavu kama wewe unachekelea bila kujua consequences za hilo suala kwamba lina effects gani hata kwako
Unajua hii nchi watu wengi hawana tofauti na wendawazimu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
huyo mshenzi Danielmwasi nimeona kinyaa hata ku-quote post yake
 
DAWA YA MOTO NI MOTO. AGHA KHAN ITAKUFA, wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals. Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum. If you act we act.
Hii kinyume chake. Kwa muda mrefu sana walikataa kuwapokea wateja wa NHIF. Wakati wa jiwe wakawa hawana namna.
 
Kwa what hospital agha khan, ukitoa ya Dar agha khan will fail else where
Hizo ndoto zako wachana nazo. Hakuna hospital inayotamani kufanya biashara na NHIF, hata hizi za serikali, sema kwa sababu zinapata ruzuku otherwise huwezi enda hospitali kwa vifurushi vya NHIF
 
Vituo vya private vilivyositisha matibabu ni hospitali kubwa za level ya kanda sio chini ya hapo. Acheni kuleta taharuki. Agakhan iliamua kwenda na polyclinics zake ila private hospitals zinaendelea na kazi.
Unaongea upumbavu , Kwani Bochi ya pale kimara ni hospitali ya kanda ?
Nenda pale na kikadi chako hicho cha NHIF uone kinachokupata
Unajua nini maana ya hospitali binafsi wewe dubwi?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Limeongeza huduma kuattend outpatients wenye clinics boss, umesoma medicine hospitali hairuhusiwi kureject emergency cases na hawaruhusiwi kuwatoa inpatients ipo kwenye medical act articles ameziquote waziri
Wewe ni nani mpaka useme hairuhusiwi ?
Hiyo hospitali ni mali ya baba yako mpaka useme hairuhusiwi kutohudumia emergency cases ,
We nani ?
Hivi mna akili zina fanya kazi kweli ninyi ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Ilionekana raisi ila haikuwa hivyo sema kwasababu at that time mambo mengi yalifanywa kwasiri na hata kitita kipya inabidi watu wa NHIF wakazitangaze au kutoa taarifa kwenye vituo husika, sasaivi everything has made open hata vitita mtu anadownload kuvipata.
Hakuna cha kitita wala babu yake na kitita ,upuuzi mtupu
Tatizo ni NHIF ,institution ya kipumbavu ,inayoongozwa na kuendeshwa na wapumbavu + wezi ,majitu yasiyo na miiko wala maadili ,wala upeo wa uongozi
NHIF ni failure kama institutions nyingine za serikali zilivyo failure , zero
NHIF wanashindwa kulipa funds Kwa watoa huduma ,mnafikiri nani anaweza kuvumilia huo upumbavu ?
Serikali ya ccm inakomba funds kwenye mifuko ya afya huko na kwenda kufanyia ukhanithi na sio mifuko ya afya tu hata mifuko ya pensheni hali ni ileile ,hali tete
Ni suala la muda tu hata pensheni zitaacha kulipwa
Nchi ikiongozwa na wapumbavu , failure ni pie

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Sawa wanyonge wataendelea kutumia hospitali za umma, wala hili halibishaniwi!
Unachokosea kuwaita watanzania wenzako ambao umesoma kwa kodi zao kuwa ni MAKAPUKU.

Kwani typhoid inayotibiwa agha Khan na inayotibiwa muhimbili au mwananyamala ina tofauti ?.
 
marekani hadi kesho wanabishana kuhusu bima ya serikali

Issue ya bima ya afya inayotolewa na serikali ni very tricky ukingatia mtaji ni hela za umma, na kuna wezi
 
Wewe ni nani mpaka useme hairuhusiwi ?
Hiyo hospitali ni mali ya baba yako mpaka useme hairuhusiwi kutohudumia emergency cases ,
We nani ?
Hivi mna akili zina fanya kazi kweli ninyi ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Sio mimi ni sheria ipo kwenye medical act na kwenye mkataba walioingia nao ili kuanzisha huduma za afya nchini. Ipo kwenye international laws za afya na inasimamiwa na WHO wenyewe sio wizara ya afya tu
 
Hakuna cha kitita wala babu yake na kitita ,upuuzi mtupu
Tatizo ni NHIF ,institution ya kipumbavu ,inayoongozwa na kuendeshwa na wapumbavu + wezi ,majitu yasiyo na miiko wala maadili ,wala upeo wa uongozi
NHIF ni failure kama institutions nyingine za serikali zilivyo failure , zero
NHIF wanashindwa kulipa funds Kwa watoa huduma ,mnafikiri nani anaweza kuvumilia huo upumbavu ?
Serikali ya ccm inakomba funds kwenye mifuko ya afya huko na kwenda kufanyia ukhanithi na sio mifuko ya afya tu hata mifuko ya pensheni hali ni ileile ,hali tete
Ni suala la muda tu hata pensheni zitaacha kulipwa
Nchi ikiongozwa na wapumbavu , failure ni pie

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Nipe point unadefamate kwenye mada halisi. Insults na cursing hazina mantiki ni watu wazima hapa.
 
Hili ndio watu wanalisahau. Ukiondoa Aga Khan ya Ocean Road, hizi nyingne zinategemea Bima kwa kiasi kikubwa.
Mzee unajua Aghakani wameanza kupokea Bima lini???
NA Kuna Bima ngapi? Ukitoa NHIF?
Pengine hujui kuwa NHIF ndo bima ya walio na kipato cha Chini kuliko zingine..

Imazidiwa na Bima ya Serkali ya SHIB(NSSF)
 
Unachokosea kuwaita watanzania wenzako ambao umesoma kwa kodi zao kuwa ni MAKAPUKU.

Kwani typhoid inayotibiwa agha Khan na inayotibiwa muhimbili au mwananyamala ina tofauti ?.
Gharama ya matibabu haitegemei bei ya dawa peke yake bali pia huduma. Kuna wanaolazwa kwenye maholi na wengine wanalazwa kwenye vyumba binafsi lazima walipe tofauti.
 
Back
Top Bottom