mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Wandugu,
Hospitali za private zimesitisha huduma kwa wagonjwa wanao katwa mishahara yao kila mwezi na mfuko wa NHIF.
NHIF nayo leo imetangaza kusitisha mkataba na hospitali ya agakhani na TMJ.
Bila shaka madhira ni makubwa sana kwa wafanyakazi.
Ombi langu:
Kwa kuwa huu mfuko sasa hautusaidii chochote . Waturuhusu basi tunaotaka tujitoe na mfuko huo fedha hiyo tukopee bank ili tuanzishe miradi na tumudu gharama za matibabu.
Ni hayo tu kwa usiku huu