MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
we unafikiri nae hajui kusoma alama?
Bitozi kasanda
we unafikiri nae hajui kusoma alama?
huyo bila ndo nani? au ndo yule anayetembea na wake wawili wawili? kwanza hafahamiki kabisa!!!
azisome vizuri maana dar na mbeya leo pamenuka...
Mkuu una maana kwamba amekimbia bendera na mabango?Hivyo vinatisha usalama kweli?
kesho jk atakuwa iringa --- sijui kuna nini
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Hivi hichi cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani kwenye nchi hii, kama sio ku misuse resources za wananchi,.
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Kuna bomba moja la maji taka linatokea usawa wa Ofisi ya Mkemia Mkuu na Ikulu kuingia baharini. Tutaanza kumtafutia humo!SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?